passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #721
Ongeza mingineBiblia ina mikanganyiko mingi sana, nimekua nikpitia Biblia. Ila bado sijapata jibu kabisa nini maana ya Biblia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza mingineBiblia ina mikanganyiko mingi sana, nimekua nikpitia Biblia. Ila bado sijapata jibu kabisa nini maana ya Biblia.
Ngoja nimalize mpira wa Yanga hapa nikirudi home ntkucheckNko mimi Mkuu.
Nitazileta mkuu.Ongeza mingine
Haya Dr Jeremiahs tunaanza na uumbaji hebu niambie Mtiriko sahihi wa uumbaji kipi kilianza kikamalizia kipi?Nko mimi Mkuu.
Alijua Kuna kina kitu kinaitwa second language acquisitionSasa kwanini ashushe Quran kwa lugha moja tu?
Wakati anajua aliumba wanadamu kwa lugha tofauti tofauti?
MKuu Naona Kimya follow upMkuu HOSEA hakuzini. Bali alioa mwanamke asiyemwaminifu. Ni sawa na wewe uone mwanamke ambaye baadae anakusaliti. So lile neno la kuwa USIZINI Mungu hakulitangua. Liko palepale.
Jadili mada mkuuKama uchawi upo pasina shaka Mungu yupo
Mada kaririwa!!Jadili mada mkuu
Karibu sana.
Sijasema mtiririko hauko sahihi nimesema unipe mtitiriko huo!Mtiririko wa uumbaji upo sahihi kama jinsi mwanzo 1 inavyoelezea Mkuu. Kuhusu adam na hawa. Adam ndio aliumbwa kwanza
Umejibu vyema!Mtiririko wa uumbaji upo sahihi kama jinsi mwanzo 1 inavyoelezea Mkuu. Kuhusu adam na hawa. Adam ndio aliumbwa kwanza.
The issue ni kuwa kwenye mwanzo 1 Mungu aliumba roho[1:26 ....kwa mfano na kwa sura yetu] kwenye mwanzo sura ya pili mungu akaumba mwili [kutoka katika Mavumbi] akaipulizia puani pumzi ya uhai.
Mungu ana elimu na mambo yote yanayotokea ulimwenguni, Kila kitu kinachotokea kilishapangwa kiwe kabla ya kuumbwa kwa hii dunia .
Mungu ameumba mwanadamu kisha akambainishia njia zote, njema na ovu kisha akampa uhuru achague wapi anaelekea.