Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Halafu suala la lugha kuzungumzwa na wengi ama wachache sio ishu! Ishu ni kuwa Mungu hapangiwi wapi kwa kushusha ujumbe wake. Ndio maana licha ya watu wa farao kuwa ni wengi sana bado aliamua ujumbe wake aushushe kwa mwana wa israel ,yaani Mussa licha ya kuwa wana wa israel walikuwa ni wachache kuliko watu wa kabila la farao.
Kumbe ulishushwa?
 
Kitovu cha ustaarabu wa kale chotekilikuwa kikizungumza lugha ya kiarabu. Iraq,Sham,Urdun,Filistin,Yaman,Bahrain,Oman,Masri. Leo hii wewe mpuuzi unasema ilikuwa ni lugha iliyoongelewa na wachache
Eti kitovu cha ustaarabu acheni kusikiza mabasha hao.civilizasion ilianza egypty na watu weusi .
 
Hana uwezo huo kwa sababu hana Huo uthibitisho..Watu wengi wana ugonjwa wa kuogopa ukweli...

Ugonjwa huu kipsycholojia Unaitwa alethophobia..
Kamwe hawezi kukupa Jibu ya hilo swali kwa sababu anauogopa ukweli
Anajiona ana hoja sana juu ya swali lake kumbe swali halina maana yoyote inayoeleweka.
 
Wewe ukiambiwa Biblia ni nini utasemaje ?

Unamjua Waraqah bin Nawfal ? Walikuwa na kumbukumbua au mabaki ya vitabu vya kale kwa maana ya Injili na Taurati, na wale walio amini kisawa sawa walikuwa wanatumia maandiko hayo, ndio maana alipokuja Mtume akaaminiwa hasa Waraqah sababu alikuwa na ujuzi wa maandiko ya kale.

Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vyenye lengo moja..... so zipo Bibilia za mapishi, mavazi, ngono nk nk

Kwa muktadha wa hoja yetu hapa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vinavyotoa muongozo wa imani ya dini kadhaa wa kadhaa ikiwemo Ukristo na uyahudi

Mudi wakati anaanza sanaa zake za kushushiwa Quran vitabu vyote vya kwenye Bibilia vilikuwepo

Wakati wa Rumi wanairasmisha dini ya ukristo kuwa dini ya dola ndio waliamua kukusanya vitabu vyote na kuviweka kwenye Bibilia moja wakati huo Mudi hajazaliwa bado

Waraqah bin Nawfal alikua na vitabu vya kwenye Bibilia
Wayahudi walikua na vitabu vya kwenye Bibilia wakristo walikua na vitabu vya kwenye Bibilia

Unaposema BIBILIA haikuwepo wakati wa Mudi ni uongo mkuu
Unataka kumaanisha Bibilia ilikuja kutungwa baada ya Mudi?
Hata kama injili na torati zilikua tampered basi zilikua hivyo kabla ya Mudi

Kabla na baada ya Mudi hakuna kitabu chochote kiliongezwa kubadilishwa wala kutolewa kwenye Bibilia...... Bibilia ilikua hivi tunavyo iona leo
 
Ningekuwa atheist nisingetumia hoja ya contradition katika vitabu vya dini kuhitimisha kuwa hakuna Mungu, kwangu ni hoja dhaifu.
 
Hujatoa uthibitisho wa aina yoyote ile umesema maneno kama unavyosema sasa ila Wote waliokujibu walitoa majibu yenye uthibitisho..
Sijui kama unajua maana ya uthibitisho
Majibu yenye uthibitisho usio thibitisha au usio jibu swali langu, huku kunakuwa kupoteza muda.

Ushahidi wangu nilio utoa ni kuonyesha ya kuwa kilikuwa na mabaki ya vitabu vya kale kama vile Taurati na Injili, na kupitia elimu aliyo kuwa nayo Waraqah juu ya maandiko ya vitabu vya kale akamkiri Mtume ya kuwa ni nabii. Vitabu hivi havikuwa katika mjumuisho.

Rejea pale Mtume alipo mkataza swahaba wake aliye kuwa ameshika kipande Cha Taurati.
 
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vyenye lengo moja..... so zipo Bibilia za mapishi, mavazi, ngono nk nk

Kwa muktadha wa hoja yetu hapa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vinavyotoa muongozo wa imani ya dini kadhaa wa kadhaa ikiwemo Ukristo na uyahudi

Mudi wakati anaanza sanaa zake za kushushiwa Quran vitabu vyote vya kwenye Bibilia vilikuwepo

Wakati wa Rumi wanairasmisha dini ya ukristo kuwa dini ya dola ndio waliamua kukusanya vitabu vyote na kuviweka kwenye Bibilia moja wakati huo Mudi hajazaliwa bado

Waraqah bin Nawfal alikua na vitabu vya kwenye Bibilia
Wayahudi walikua na vitabu vya kwenye Bibilia wakristo walikua na vitabu vya kwenye Bibilia

Unaposema BIBILIA haikuwepo wakati wa Mudi ni uongo mkuu
Unataka kumaanisha Bibilia ilikuja kutungwa baada ya Mudi?
Hata kama injili na torati zilikua tampered basi zilikua hivyo kabla ya Mudi

Kabla na baada ya Mudi hakuna kitabu chochote kiliongezwa kubadilishwa wala kutolewa kwenye Bibilia...... Bibilia ilikua hivi tunavyo iona leo

Siwezi kujadiliana na wewe sababu huna unachokijua na una utoto mwingi.

Hapa tunajadili elimu wewe unaleta utoto.
 
Naujua vyema huo uislam wako kwa fikra huru kuliko unavyoujua wewe kwa fikra za kujifungia ndani ya box

Wenzako wanaoujua vyema uislam angalau wana argue kwamba wakati wa Mudi Bible ilikua haijawa translated to arabic na sio kwamba HAIKUWEPO

Hata hivyo hoja yao pia inakufa kwa muktadha wa Khadija’s cousin Waraqa ibn Nawfal ambaye alikua na scriptures za ukristo ambapo inadhihirisha tayari scriptures za ukristo na uyahudi zilishakuwa translated kwa kiarabu
 
Majibu yenye uthibitisho usio thibitisha au usio jibu swali langu, huku kunakuwa kupoteza muda.

Ushahidi wangu nilio utoa ni kuonyesha ya kuwa kilikuwa na mabaki ya vitabu vya kale kama vile Taurati na Injili, na kupitia elimu aliyo kuwa nayo Waraqah juu ya maandiko ya vitabu vya kale akamkiri Mtume ya kuwa ni nabii. Vitabu hivi havikuwa katika mjumuisho.

Rejea pale Mtume alipo mkataza swahaba wake aliye kuwa ameshika kipande Cha Taurati.
Now you Sound like Stupid (Am sorry to say that)
Kwa sababu,Unafikirije kama kuna kipande kama hakukuwa na kizima kilichokuwepo..

Unafikirije kuwepo Na Injili bila kuwepo TANAKH ..
Wakati TANAKH Is the way More Old about 5 Century before...

Mkuu kuna vitu nahisi haviko sawa kwako..
Thus y nilikuuliza unajua maana ya biblia its seems Wewe ni Mtu mwenye ugonjwa wa ALETHOPHOBIA
You know the truth but Unfortunately Afraid to admitts it and this make you the dumbest debater i ever had!..

Unakubali kulikuwa na Injil then you disagree kulikuwa hakuna agano la kale Thus stupid..

BTW for that point Even kipindi cha Mtume hakukuwahi kuwa na Quran..
QURAN haikuwahi kukusanywa kipindi cha mtume ilianza kukusanywa kipindi cha Khalifa wa kwanza Abu bakar..

So if i said kipindi cha mtume pia hakukuwa na quran itakuwa swa?
 
Naujua vyema huo uislam wako kwa fikra huru kuliko unavyoujua wewe kwa fikra za kujifungia ndani ya box

Wenzako wanaoujua vyema uislam angalau wana argue kwamba wakati wa Mudi Bible ilikua haijawa translated to arabic na sio kwamba HAIKUWEPO

Hata hivyo hoja yao pia inakufa kwa muktadha wa Khadija’s cousin Waraqa ibn Nawfal ambaye alikua na scriptures za ukristo ambapo inadhihirisha tayari scriptures za ukristo na uyahudi zilishakuwa translated kwa kiarabu
Na ndo ninachoshangaa why anaendelea kupinga uwepo wa maandiko hayo wakati huo huo anaendelea kuthibitisha uwepo wa maadiko hayo..
Did he even have the time to look at what he wrote?

Man this is Disgustin' kwakweli..
Huyu Kisai anabidi achukue mapumziko kwenye huu Mdahalo naona umekuwa mkubwa zaidi ya uwezo wake naona sasa anachofanya ni kuchanganyikiwa
 
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vyenye lengo moja..... so zipo Bibilia za mapishi, mavazi, ngono nk nk

Kwa muktadha wa hoja yetu hapa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vinavyotoa muongozo wa imani ya dini kadhaa wa kadhaa ikiwemo Ukristo na uyahudi

Mudi wakati anaanza sanaa zake za kushushiwa Quran vitabu vyote vya kwenye Bibilia vilikuwepo

Wakati wa Rumi wanairasmisha dini ya ukristo kuwa dini ya dola ndio waliamua kukusanya vitabu vyote na kuviweka kwenye Bibilia moja wakati huo Mudi hajazaliwa bado

Waraqah bin Nawfal alikua na vitabu vya kwenye Bibilia
Wayahudi walikua na vitabu vya kwenye Bibilia wakristo walikua na vitabu vya kwenye Bibilia

Unaposema BIBILIA haikuwepo wakati wa Mudi ni uongo mkuu
Unataka kumaanisha Bibilia ilikuja kutungwa baada ya Mudi?
Hata kama injili na torati zilikua tampered basi zilikua hivyo kabla ya Mudi

Kabla na baada ya Mudi hakuna kitabu chochote kiliongezwa kubadilishwa wala kutolewa kwenye Bibilia...... Bibilia ilikua hivi tunavyo iona leo
Sorry point of correction Biblia haikuwa hivi tunavyoiona leo ilikuwa tofauti na kikao cha mwkaa 693 ndo kiliondoa totaly baadhi ya vitabu kwenye biblia..

Na baadae mwaka 1556 vilirudishwa baadhi kabla ya mwaka 1800s kuondolewa tena.

Na mwaka 1900s kuondoa baadhi ya mafungu kwenye biblia ..
Na mwaka 2000s kufanikiwa kuondoa baadhi ya Aya zipatazo zaidi ya 1000 kwenye Biblia na kudai zilikuwa zimeongezwa na Mfalme Jerome kwenye King james version
 
Noted with thanx [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naujua vyema huo uislam wako kwa fikra huru kuliko unavyoujua wewe kwa fikra za kujifungia ndani ya box

Wenzako wanaoujua vyema uislam angalau wana argue kwamba wakati wa Mudi Bible ilikua haijawa translated to arabic na sio kwamba HAIKUWEPO

Hata hivyo hoja yao pia inakufa kwa muktadha wa Khadija’s cousin Waraqa ibn Nawfal ambaye alikua na scriptures za ukristo ambapo inadhihirisha tayari scriptures za ukristo na uyahudi zilishakuwa translated kwa kiarabu
Uislamu huujui, Waraqah bin Nawfal hakuwa na Biblia, bali alikuwa na mabaki na elimu ya vitabu vya kale yaani Taurati na Injili, ndio maana ikawa rahisi sana kwake kuamini ya kuwa Muhammad ni Mtume ajaye. Japokuwa Kuna tofauti kwa Wanazuoni ya kuwa je Waraqah ni swahaba au la.

Tukisema Biblia kila mtu anajua inakusudiwa nini, Sasa hii ambayo ni maarufu na inayo julikana kwa watu, mnipe ushahidi kama ilikuwepo kipindi cha Mtume. Jibu hamna, Sasa msiseme kama mmejibu swali langu wakati hamjajibu, wakati huo huo mnasema Biblia ina maana Pana na maana yake ya ujumla ni mkusanyiko wa vitabu kadhaa. Halafu bado mnadai mmethibitisha ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
 
Now you Sound like Stupid (Am sorry to say that)
Kwa sababu,Unafikirije kama kuna kipande kama hakukuwa na kizima kilichokuwepo..

Unafikirije kuwepo Na Injili bila kuwepo TANAKH ..
Wakati TANAKH Is the way More Old about 5 Century before...

Mkuu kuna vitu nahisi haviko sawa kwako..
Thus y nilikuuliza unajua maana ya biblia its seems Wewe ni Mtu mwenye ugonjwa wa ALETHOPHOBIA
You know the truth but Unfortunately Afraid to admitts it and this make you the dumbest debater i ever had!..

Unakubali kulikuwa na Injil then you disagree kulikuwa hakuna agano la kale Thus stupid..

BTW for that point Even kipindi cha Mtume hakukuwahi kuwa na Quran..
QURAN haikuwahi kukusanywa kipindi cha mtume ilianza kukusanywa kipindi cha Khalifa wa kwanza Abu bakar..

So if i said kipindi cha mtume pia hakukuwa na quran itakuwa swa?
Ukiambiwa kipande Cha Taurati akili yako ilivyo kuwa finyu inakwambia kwamba kimetoka kwenye Biblia ? Maana yake kulikuwa na nakala ya mabaki ya Taurati Sasa akawa na kipande chake na sio alikitoa kwenye Biblia. Kingekuwa ni kipande toka kwenye Biblia ingetajwa Biblia.

Kuniambia Mimi Stupid haifanyi kuwa kweli Mimi Nina sifa hiyo, hayo ni maneno tu. Hayanizidishii Wala kunipunguzia chochote.

Sababu Injili Haina uhusiano na hiyo Tanakh.

Hautakuwa sawa, sababu Qur'an imeitwa kitabu hata kabla haijakuasanywa na Iko hivyo kwa Injili, Zaburi, na Taurati pia. Kwahiyo kwenye hili huna hoja. Biblia imeitwa hivyo kutokana na kukusanywa Sasa Qur'an, Injili, Zaburi, Taurati vimeitwa vitabu hata kabla ya kukusanywa. Usiwe mjinga kiasi hiki.

Bado nasubiri ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
 
😅😅
Mkuu kuna mda sio lazma utulazimishe kutumia sources yako mwenyewe kukuonyesha biblia ilikuwepo lakini kama ndivyo unavyotaka sawa!..
Huwa sipendi kumu outsmart mtu kutumia kile alichokuwa na ujuzi nacho its so embarassing..

Quran yenyewe Muda wote imerefers wayahudi na wakristo watu wa kitabu na sio watu wa vitabu..
Kama umesema vilikuwa separate means ingerefers kwa wingi kwamba wanavitabu vingi but imerefer kwa umoja muda wote...

Labda nirudi kukufundisha Sarf (صرف) na nikuelekeze kuwa tuna مفرد (mufrad) pia tuna مُثَنَّى (muthanna) na tuna جمع (jamaa)...

Yaani Tuna Umoja,Uwili na wingi..
Kwa mfano kwa mfano huo Kitabu..
Kwa mfano Mufrad (Umoja) wa kitabu ni كتاب (kitab)
muthanna (Uwili) wa kitabu ni كتابَانِ (kitabaani)
Na jamaa (wingi) wa kitabu ni (كتب (kutub)...

ntachukua aya kadhaa tu nikuonyeshe kitu...

Al-Baqarah aya ya 2

ذَٰلِكَ ٱلْكِتَٰبُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًۭى لِّلْمُتَّقِينَ

Dhalika alkitabu la rayba feehi hudan lilmuttaqeena

....hiki ni kitabu....

Umeona hapo ni umoja lakini pia soma
SURATUL baqara aya 113

وَقَالَتِ ٱلْيَهُودُ لَيْسَتِ ٱلنَّصَٰرَىٰ عَلَىٰ شَىْءٍۢ وَقَالَتِ ٱلنَّصَٰرَىٰ لَيْسَتِ ٱلْيَهُودُ عَلَىٰ شَىْءٍۢ وَهُمْ يَتْلُونَ
ٱلْكِتَٰبَ ۗ كَذَٰلِكَ قَالَ ٱلَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ مِثْلَ قَوْلِهِمْ ۚ فَٱللَّهُ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ ٱلْقِيَٰمَةِ فِيمَا كَانُوا۟ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ

Kutamkwa..

Waqalati alyahoodu laysati alnnasara AAala shayin waqalati alnnasara laysati alyahoodu AAala shayin wahum yatloona alkitaba kathalika qala allatheena

....

Mkuu mara nyingi sana Quran inapotoja Alkitab/Alkitabi/alkitaba../Ahlul kitab

nafikiri sitaki kukufundisha Arabic grammar najua unaelewa zaidi kama ulipita pita huko na kusoma nahaw..

Quran au kiarabu kinapotumia Al (Definitive noun) maana yake kinachozungumziwa ni singular kimoja..

lakini mara nyingi amezungumzia Wayahudi na Wakristo na wewe muda mwingj unatuambia kuwa kulikuwa kuna vitabu zaidi vitatu kwanini bhasi quran isiseme Kutubu (Vitabu)...

Jibu ni kwamba Ilikuwa inamaanisha vitabu hivyo vilikuwa sehemu moja unaweza ukasoma sehemu zote zilizoandikwa ukitaka naweza kukuwekea verse zote..

Ila acha kwanza nikuache na hii aya ya 113 ...

Huyu ni Mwanachuoni Kutoka Lamu ndyo aliyetafsiri na kufanya Comentary kwenye hii apps vipi unasemaje mkuu..

Kaandika Biblia hapo kwenye Al kitaba...

Screenshot_20231212_172637_Quran Swahili.jpg
 
Quran yenyewe Muda wote imerefers wayahudi na wakristo watu wa kitabu na sio watu wa vitabu..
Kama umesema vilikuwa separate means ingerefers kwa wingi kwamba wanavitabu vingi but imerefer kwa umoja muda wote...
Kijana nimecheka sana uneweka uchambuzi ambao haukuwa na ulazima bali umeonyesha udhaifu wako mkubwa katika Qur'aan na Kiarabu pia.

Kujua maana na matumizi sahihi ya maneno katika wingi, umoja na uwili angalia siyaki ya aya na maana ya aya, aya yenyewe inaonyesha ulazima wa kutumia umoja, sababu inaeleza Uyahudi kwa kulalama kwake na Wakristo kadhalika kwa madai yao. Vipi litumike wingi ?

Soma tena aya vizuri.
 
Kuna watu ni wabishi Sana, wamekuja kwenye huu Uzi kuleta usumbufu
 
Back
Top Bottom