DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hakukuwa na Karatasi Enzi hizo mkuu sasa hapa unaanza uongo!Niliposema Biblia ulielewa nini ? Maana naona bado unazunguka zunguka tu.
Swali langu liko pale pale, thibitisheni ya kuwa kipindi cha Mtume Biblia ilikuwepo.
Qur'an ilikuwa kwenye karatasi, Naam bila shaka kabisa.
Mapinduzi ya karatasi yameanza mwka 700s (Karne ya 8th) sasa wewe unasemaje quran ilikuwa kwenye karatasi.?
Tumekwambia Tumenyoosha mikono kwamba tumeshindwa haya wewe thibitisha kuwa haikuwepo (Hii ni mara ya 31 nakuambia hili)
Na inavyoonekana kutokana na kushindwa kuthibitisha kwako wewe ni mpiga porojo usiye na elimu na unachosema..Kwahyo jitahidi upate elimu ya kutosha kabla ya kuingia kwenye mjadala