mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
naweza kukwambia hakuna uhusiano wowote ktk jina,uhusiano upo katika wasifu profile,na ndio msingi wa mada yangu tokea mwanzo.Ninachotaka unipe connection ya Jina
Pele joez el gibbor abi ad sar shalom
Au.
פֶּלֶא יוֹעֵץ אֵל גִּבּוֹר אֲבִיעַד שַׂר־שָׁלוֹם
ambalo ndo limetajwa kwenye Hilo fungu lako na Uhusiano na Yesu..
mtoto anayekuja kuzaliwa baadae ndiye huyu mwenye sifa zilizotajwa hapo,au ndio tunarudi juzi kwamba,mfalme wa amani sio Yesu ni melkizedeki???😂😂😂
huyu ndio moja ya wachungaji aina yako sasa,yule unawezakuta ana degree ya theolojia kama wewe.Machumi ni Nani? Ndo yule jamaa anayezurura Dar na Spika na Mic Pale mbezi anaitwa mashimo sio machumi..
Nikisema wewe umekariri kwa sababu huwezi kuyaelezea ntakuwa nakusea?
binafsi nimezaliwa RC,nimekulia Lutheran,na kwa sasa sijafungwa na dhehebu lolote.Wewe Ni dhehebu gani Maana Madhehebu Yote Yaliyotoka Roma na yaliyomeguka kutoka Eastern Orthodox,South na north ...Asilimia 80% wote walimsifu huyo Jamaa wa Baptist (William miller) mpaka wakaunda movements imaitwa Millerites..
kwahiyo ni kusema kwa wepesi waprotestant wote 80% ni waumini wa william miller?
ndio sababu nikasisitiza ni vyema kuisoma bible yenyewe kuliko kusikiliza kila miruzi ya mwenye uwezo wa kuongea au kuandika,watu wana matatizo yao na malengo yao kwenye kila jambo.Jamaa alikuwa Nabii akitabiri kurudi kwa yesu Kutatokea mwaka 1843 hakukutokea na akatabiri tena itakuwa 1844 watu wa dini zote wakawa na hofu lakini mwisho wa siku watu walisubiri Holaa ...
So ndo maana ikaitwa Great Dissapointment in Religion of all time (Unaweza ukagoogle pia siku hizi si ndo elimu zenu)
kwahiyo ndugu yetu miller,nayeye hana nofauti na kibwetere.Na hapo ndo kulitokea makanisa ya kilokole na WASABATO Na Mashahidi wa yehova na makanisa mengine mengi...