mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
unataka andiko la nini msomi wa theolojia kiwango cha degree usiyejua wasifu ya Yesu🤣🤣🤣😅😅 Mkuu hujatoa andiko na mliambiwa muenende kwa ushuhuda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka andiko la nini msomi wa theolojia kiwango cha degree usiyejua wasifu ya Yesu🤣🤣🤣😅😅 Mkuu hujatoa andiko na mliambiwa muenende kwa ushuhuda?
Mkuu Kubali umeshindwa kuthibitisha hoja zako maana nachokiona sasa ni kurusha maneno tu!Swali si kama hilo, sababu kuhusu Biblia haijulikani kwa watu wote kwamba ilikuwepo kipindi cha Mtume, bali wapo ambao hawaamini kitabu hicho kutokana na kutojulilkana kwa waandishi wake.
Kwahiyo huu mfano hauingii hapa.
sawa mkorinto tuendelee kupambana hapa sandaland😂basi uache uvivu fatilia post zangu nikimnukuu,yapo mahitaji yako na maandiko unayohitaji.
yeye hakuelewa,natarajia wewe utaelewa.
mkuu fata nilichokuelekeza kwa ustawi bora wa ufahamu wako.Na yeye ndo walewale
Yule ashaanza kuvaa mabomu kwenye msuli.
Huyu mkorinto sijui atafanya nini.
Mkuu Nikuulize kitu hebu nipe wasifu wa masihi kwa Agano la kale...(Aliyetabiriwa kuja)unataka andiko la nini msomi wa theolojia kiwango cha degree usiyejua wasifu ya Yesu🤣🤣🤣
eti nimepanick😂😂😂Mkuu Nimeelewa na ndo maana nikawa na uwezo wa kuchangia kukufanya wewe upanic na kushindwa kuniprove wrong kutumia maandiko yako mwenyewe!🤣🤣
SAsa mpaka sasa hivi hujaihakiki mkuu ila imekuhakiki weweeti nimepanick😂😂😂
mimi siko hapa kukuprove wrong,niko hapa kuhakiki degree yako ya theolojia.
soma isaya 9:6Mkuu Nikuulize kitu hebu nipe wasifu wa masihi kwa Agano la kale...(Aliyetabiriwa kuja)
YESU,Mungu mwenye nguvu,mfalme wa amani,hakimu wa haki,mkombozi, nkHalafu nipe Wasifu wa agano jipya aliyekuja.
william millerites ni nabii gani?Ndo maana mwanzoni nilikuuliza unajua the Great disapointment Of christian religion of all the Time..
Ile ya kina William miller Millerites..
hiyo siifahamu,msomi embu ilete.Nafikiri ungekuwa unaijua tungeanzia hpa
mimi msomi wa sunday school na sikumaliza kabisa.SAsa mpaka sasa hivi hujaihakiki mkuu ila imekuhakiki wewe
Swali si kama hilo, sababu kuhusu Biblia haijulikani kwa watu wote kwamba ilikuwepo kipindi cha Mtume, bali wapo ambao hawaamini kitabu hicho kutokana na kutojulilkana kwa waandishi wake.
Kwahiyo huu mfano hauingii hapa.
Mzazi wa Yesu kwa Mujibu wa tamaduni za Kiyahudi bado hapo hakuna contradictions.Firstly its has to stick on what is written not opinion...
Tuanze na MAZAZI YA YESU....(Tuanze na vitu vidogo kwanza simple starter)
TUanze na jina la babu yake yesu!
Baba yake ya Yoseph (Yusuph) katika Luka 3:23 alikuwa Eli
Ila baba yake yoseph (yusuph) katika Mathayo 1:16 inasema aliitwa Yakobo...
So ukiulizwa who was the father of Joseph utasema nani?..
Utatumia Refference ya Mathayo au luka na kwanini?
soma isaya 9:6
tuone huyu ni nani alikuwa anatabiriwa hapa.
YESU,Mungu mwenye nguvu,mfalme wa amani,hakimu wa haki,mkombozi, nk
Dah bhasi kama hata Great disappointment huijui...na william miller humjui it means that hata dini unafata kama mkumbo mkuuwilliam millerites ni nabii gani?
hiyo siifahamu,msomi embu ilete.
ahaaa mkuu,kwahiyo ili ukubali ulitarajia uone jina Yesu likitajwa hapo moja kwa moja!!!As far as TANAKH it may Concern the ulischosema nisome ni hiki hapa..
View attachment 2839317
Sasa naomba uniambue kuwa Ulikuwa unamaana ipi kuniambia nisome hilo fungu au ulihisi linahusu yesu...
Kama ndyo bhasi Umedanganywa na Textual Manipulation waliofanya kwenye Tafsiri ..
mkuu ni wasifu tunazungumzia sio majina.Hilo ni Jina na kama lilivyoandikwa hapo kwenye bi lia..
Ni kama majina mengine...
sawa.Unajua kuwa hata Gabriel maana yake ni Nguvu ya Mungu..
so wangetafsiri Jina ingekuwaje leo kuwa "Nguvu ya Mungu akamtokea Maria"
mchungaji hata wewe unadai uliwahi kuwa,na machumu pia ni mchungaji,mmekariri maandiko sio kuelewa.now you sound Ridiculous...
hilo ni moja ya Mafungu yaliyokuwa twisted go and umuulize mchungaji wako..
😆😆,mkuu,miller ni mtu tu kama wewe,anawezakuwa alikuwa mlevi,anavuta bangi,au alipata ajali ya kichwa.Dah bhasi kama hata Great disappointment huijui...na william miller humjui it means that hata dini unafata kama mkumbo mkuu
NIlitegemea hili jibu mkuu amini usiamini ndo maana mwanzo nikasema "No Opinion" just stick to the book...Mzazi wa Yesu kwa Mujibu wa tamaduni za Kiyahudi bado hapo hakuna contradictions.
Ukisoma kwa mtazamo wa Biblia hoina contradictions hautapata shida.
1: Virabu viwili vineandikqa na watu wawili kwa uongozi wa Roho mtakatifu kila mmoja akitaka kutoa ukoo wa Yesu kwa kusudi tofauti.
Mathayo anaonyesha Uzao wa kifalme wa Yesu kwa Yusuph. Pia Luka anaonyesha uzao wa Yesu kupitia Mariam. Hiyo kiyahudi hakuna neno Baba mkwe, ni Baba tu. Hivyo huyo Eli atakuwa ni Baba yake Mariam ambaye ni baba mkwe wa Yusuph. Ambaye Bado ataitwa Baba.
Sijui.Kwa jinsi ujuavyo wewe kwa sasa Biblia ipo, unahisi imekuwepo tangu lini.
Hatuangalii watu wataonaje au watasemaje hili sio lengo letu. Bali tuna angalia ukweli wa mambo.Mkuu Kubali umeshindwa kuthibitisha hoja zako maana nachokiona sasa ni kurusha maneno tu!
Kuna watu wanakufatilia na wanapenda uchangiaji wako wa utetezi wa Dini na mimi pia naupenda (Nikiri hivyo maana hakuna muislamu Jf ambaye anatetea Uislamu kwa facts kama wewe)
Lakini kwa sasa unachofanya hicho kitawafanya wanaokufatilia waanze kutia shaka na point yako ya kipindi cha mtume (S.a.W) hakukuwa na biblia...
hautakufa endapo utaprove kwamba haikuwepo
Ninachotaka unipe connection ya Jinaahaaa mkuu,kwahiyo ili ukubali ulitarajia uone jina Yesu likitajwa hapo moja kwa moja!!!
mkuu ni wasifu tunazungumzia sio majina.
Machumi ni Nani? Ndo yule jamaa anayezurura Dar na Spika na Mic Pale mbezi anaitwa mashimo sio machumi..sawa.
mchungaji hata wewe unadai uliwahi kuwa,na machumu pia ni mchungaji,mmekariri maandiko sio kuelewa.
Wewe Ni dhehebu gani Maana Madhehebu Yote Yaliyotoka Roma na yaliyomeguka kutoka Eastern Orthodox,South na north ...Asilimia 80% wote walimsifu huyo Jamaa wa Baptist (William miller) mpaka wakaunda movements imaitwa Millerites..😆😆,mkuu,miller ni mtu tu kama wewe,anawezakuwa alikuwa mlevi,anavuta bangi,au alipata ajali ya kichwa.
usimpe nafasi kubwa kiasi hicho.
Mkuu Nini maana ya biblia nianze hapo kwanza..Hatuangalii watu wataonaje au watasemaje hili sio lengo letu. Bali tuna angalia ukweli wa mambo.
Swali langu liko wazi sana. Biblia kama ingekuwepo ingeelezewa sababu zama za Mtume walikuwepo watu wakitumia maandiko ya zamani kama vile kina Waraqah bin Naufal, na kwa elimu zao ndio akawa mwanaume wa kwanza kumkubali Mtume. Lakini hakuna sehemu iliyo nukuliwa ya kuwa hiyo ilikuwa Biblia sababu Biblia inajulikana.
We jamaa hauko serious kabisa😂 sasa hujui na unaambiwa unakataa. Inaonekana unacho unachojua.Sijui.
Lakini haikuwepo kipindi cha Mtume.