passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #601
Hajawahi kuwa na facts, ana vimaneno vingi vingi kama wazaramo!Bhasi tumeombs wewe utupe ushahidi unaoweza kujibu hojs yako ila naona blah blah nyingi unatoa..
Siku zote msomi hana blah blah blah zaidi ya kutua authentic Facts..
So umeprove hata wewe ulichokuwa unahoji hukijui
Yeye anakuambia kila mtu ni muislamu hakuna mjadala.