Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Kwani kuna mtu anakufa bila Mungu/Allah kutaka????,

Yaani nauliza kuwa kuna mambo ambayo yanaweza yakatokea bila Mungu/Allah kujua, yaani na yeye anashtuka Jambo limefanyika bila yeye kutarajia????
Binadamu SIO MALAIKA.binadamu amepewa utashi wa kuchagua nini afanye,Mungu anajua NIA ZETU za ndani ya mioyo yetu ANAJUA
 
Anavyosema, tumefanya au sisi.. anamaanisha nini Allah? Yeye na nani?
 
Hapa hakuna

Hapa hakuna mkanganyiko wowote ni swala la uelewa wa biblia na context yake.
Hii kauli inatakiwa kutolewa baada ya kutatua hiyo mikanganyiko yote, kimantiki, bila kukosa kutatua hata mkanganyiko mmoja.

Hutakiwi ku dismiss "hizi hesabu rahisi sana" kabla hata ya kuzi solve, hapo utaonekana unaleta swagger tu ambalo huwezi kulithibitisha.

Hilo jambo la "uelewa wa Biblia na context yake" tu ni mkanganyiko mwingine unaotuonesha Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, kusingekuwa na utata wowote wa kujua yupo, kila mtu angejua Mungu yupo bila utata, hata mjadala wa kujadili kama Mungu yupo usingewezekana. Kuwezekana kuwepo kwa mjadala huu ni ushahidi Mungu hayupo.

Imekuwa vipi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asitupe neno lake katika kitabu ambacho kila mtu atakielewa na kuelewa context yake vizuri bila utata?

Mungu kashindwa hilo? Kama kashindwa ni muweza yote kweli?

Ama hakushindwa, ila hakutaka tu hilo? Kama hakutaka tu, je, ni kweli ana upendo wote?

Zaidi, kama hili tu lina utata, huyo Mungu yupo kweli? Utathibitishaje kuwa yupo, wakati hata hicho kitabu unachosema kinamuelezea kina utata na context? Unajuaje wewe unakisoma kwa context sahihi na unaelewa vizuri?

Hebu soma "How To Read the Bible: A Guide To Scripture Then and Now" halafu ujue kuwa suala la context katika Biblia ni kubwa sana, unaambiwa hata huyo Adam hakuwapo, ni story tu, sasa, hapo tutajua vipi kuwa hata huyo Mungu naye si story tu?


How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Thibitisha kama hayupo[emoji4]
Kisicho kuwepo Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.

Angalau kitu kinaweza kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Mfano upepo upo kwa kusikika.Joto, baridi, njaa, kiu, maumivu n.k, Vipo kwa kuhisika.
Na angalau kwa namna moja ya kuhisika vitu hivi vinatambulika vipo.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Haonekani, Hashikiki, Haisiki wala Hasikiki.

Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu Imaginations just an illusion.

Kama Mungu huyo yupo, Eleza yupo kwa namna gani?
 
Inaonesha ni kwajinsi gani Ambavyo Elimu na sayansi haijakukomboa kwamambo ya fuatayo
1.kuwepo kwa contradiction Hakumaanishi kwamba Mungu hayuko
2.Msomi unae toa fact Kama Mungu hayupo na hiliali Ata Biblia yenyewe inaonekana hujawai kuisoma una sikia tu historia nta kwambia kwann unaonekana Biblia inaonekana hujawai kuisoma
3.Ww kiranga nawenzako woteee
Inaonekana kunashida kwenye akilizenu
Wote Mnajaribu kuingiza sayansi kwenye maswala ya Imani mna sahau kwamba Imani ni Imani tuuu
Na sayansi ni sayansi tuuuu

Nini maana ya Imani??
Ni kua na HAKIKA ya mambo YATSRAJIWAYO NI BAYANA YA MBAMBO YA SIO ONEKANA

Sasa ww umeambiwa Imani inahusu mambo Ambavyo hayoonekani alaf mtu Ana kwambia anataka proof za kisayansi kwenye maswala ya Imani

Mf.Mm binafsi nishawai kuumwa Sana kichwa lakin nikajiombea Mimi mwenyewe kwa Jina La YESU nikapona kwamda mfupi tuuu

Haya Sasa niambie ni prove kwamba ni Mungu kaniponya Kama sayansi inavyotaka (sayansi ina taka proof za kibinadamu)
Tunaweza hata tukatumia miaka 100 na usielewe ilikuaje kuaje nikapona

Kwaufupi Jueni kutifautisha kwamba
Sayansi inahitaji PROOF
ILA
DINI inahitaji IMANI
4.Acheni uvivu wa fikra kupenda kutafuniwa vya Google na watu wengine(nakuona kilakitu unamtaja kiranga wakati kiranga ni mtu Kama ww yemwenyewe biblia hajawai kuhisoma na Kama anasoma Ana soma Kama Phyisics )

Mngekua mnasoma Biblia msingekua mna muulizia Mungu Jamii forum Eti mtu akuthibitishie Mungu yupo alaf Unakesha ukifanya mambo yako mengine

Mungu alisema kwamba

Mtafuteni Mungu maadam anapatikana

Mungu anatafutwa nakatoa ahadi ya kupatikana Kama mtu ata mtafuta kwa uaminifu

Msichojua nyie nikwamba Wapo watu wengi ambao wanasikia sauti ya Mungu Wanaona Maonoo wakiwa wamefumba machoo kwasababu hao watu Wana mtafuta Mungu kwa kufunga,kuomba na Kijitakasa dhambi zao

Ata Wana wa Israel walipo sema kwamba kwann Mungu aongee na Musa tuu. Walitaka kumuona waka ambiwa wajitakasee Kwanza ndo Mungu ashuke aongee nao

SASA NYIE ENDELEENI HIVYO HIVYO HATA KANISANI HAMTAKI KWENDA ALAF MNATAKA KUMUONA MUNGU GOOGLE NA JAMII FORUMS

5.BIBLIA IMEANDIKWA KWA KISWAHILI LAKINI JUA KUTOFAUTISHA KUSOMA BIBLIA NA VITABU VINGINE KAMA PHYSICS N.K

Biblia ni kitabu kinacho changanya Sana Kama utatumia akili zako binafsi ,Bila ya ROHO MTAKATIFU
Uwezi kuelewa sawa sawa Biblia

Mtataka tena tusibitishe ROHO MTAKATIFU YUPO EHH( Kama vile anaonekana )
Sasa nyie endeleeni ku Google tu na kusikiliza wazungu alaf tuuone Kama mtamuona

Mf.kwanin Biblia sio Kama VITABU VINGINE

Yesu mara ya Kwanza alikua na wanafunzi zaidi ya 70+ LAKINI sikumoja aliwaambia ya kwamba
"Mtu atakaye nifuata awe tayari kuula Mwiliwangu na Damu yangu"
Wengi wawana funzi wake hawakuelewa Yesu kamaanisha Nini wakaondoka wengi wakabaki wachache tuu ikiwemo wale 12

LAKINI katika historia ya YESU hatuajaona sehemu ambayo wanafunzi walio bakia walikula mwili wa Yesu

Biblia IMEANDIKWA kwa mafumbo ambayo kwaakili ya kawaida Bila ROHO MTAKATIFU haiwezekani kuifumbua

In short
ACHENI KUSOMA BIBLIA KAMA MLIVYOSOMA PHYISICS NA MATHEMATICS

6..UJUI BIBLIA KWASABAU
Unashanga sifa ya Mungu ya KUSAHU
Kama ungekua msomaji wa Biblia usinge shangaa Mungu maranyingi alikua anawaambia Wana wa Israel kwamba ATA YASAHAU MAKOSA YAO
Ata MAKOSA yako ukiyatubu Leo Mungu ata yasahau

HASIRA
Mungu anazaidi ya HASIRA tena Ni MOTO ULAO
Mungu HASIRA anayo Kama nako huamini kawaulize Sodoma na Gomora wata kudada vulia Haswa

WIVU
Kama ungekua onasoma Biblia usinge shangaa WIVU wa Mungu

Maana yeye ni Mungu mwenye WIVU


Mwambie na Kiranga Jueni kutifautisha kati ya Imani na Sayansi

(+)kanisani unaitwa Msalaba

(+) Shule inaitwa jumlisha

NB.Huu usiwe ugomvi Tuna eleweshana tuu

Nakama kunasehemu nimekosea kuandika Bahati mbaya
msije mkaleta visingizio

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Alafu kwenye Uumbaji hapo kaa chini Usome vizur Usikurupuke
Rafiki

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
stories za biblia siwezi kuzitolea ufafanuzi.
Ulisema uletewe Andiko linalo sema Mungu kaua mtu.

Nimekuwekea hapo Mungu alimuua Onani.

Sasa usiseme tena kwamba Mungu hajawahi kuua mtu.

Mungu ni Muuaji mkubwa sana.
hata hivyo ukilala na mke wa ndugu yako mtoto anakuwaje wa ndugu yako wakati ameshakufa?
 
Binadamu SIO MALAIKA.binadamu amepewa utashi wa kuchagua nini afanye,Mungu anajua NIA ZETU za ndani ya mioyo yetu ANAJUA
Ndiyo maana nasema kuna binadamu Mungu/Allah kawaumba ili wachomwe Moto,
Maana mungu anakujua wewe kabla kukuumba, anakujua wewe na maisha yako yote ulioishi na unayomalizia kuyaishi, na anajua kitu gani, siku gani tukio gani litakukuta hapo baadae, pia anajua utakufaje, lini, wapi na muda gani
 
First things first.

Mimi sijadili imani, najadili ukweli.

Imani una haki ya kuwa nayo yoyote. Ya ukweli au ya uongo.

Hii ni haki yako ya kikatiba, ni haki ya utu wako ipo katuka Universal Declaration of Human Rights tangu December 10 1948.

Na nimesema mara nyingi hapa, mimi siamini uwepo wa Mungu wala dini, lakini natetea haki za watu wote kuamini wanavyotaka, na haki zao za kuamini wanavyotaka zikiingiliwa, nitazitetea.

Kwanza kabisa naomba tuelewane hapo kwamba kuna tofauti kati ya kujadili imani na kutafuta ukweli.

Imani ni haki ya kikatiba ya kila mtu, haina haja ya kuithibitisha, ukweli ndio unathibitishwa.

Ninapohoji uwepo wa Mungu, siongelei suala la imani, naongelea suala la kutafuta ukweli.

Umeelewa hapo?
 
Mungu hafanyi MAKOSA kaa chini soma bible vizur Rafiki

Mungu anaweza kuhuuisha na kuuwa mwenyewe na asitende dhami

Wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu haimaanishi tuna mamlaka Kama Mungu Rafiki

Unasema HIVYO kwasababu Hata Dhambi hujui ni Nini

Dhambi huja pale ambapo mtu yupo chini ya Sheria ya Mungu
Mf..
Enzi za kina Ibrahim hapakua na Dhambi ya Uzinzi (Sina haja ya kuelezea Sana Kama unasoma Biblia una elewa rafiki Kama usomi yanini kubisha kitu usicho kijua)

Tuendelee...

Kama Dhambi inakuja chini ya Sheria

Mungu je Yuko chini ya Sheria gani?????

Kwahiyo Mungu anaweza akaumba na akaua yy mwenyewe na sio Dhambi

Sawa Rafiki Usije ukaanza kufananisha mambo ya serikali (raisi) na Mungu

Mungu hapigiwi kura

Sawa Rafiki

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahah..sawa mkuu. Ujue vitu vingine vinahitaji akil nying kama za kwenu nyie atheists ndio maana sie tunawaunga mkon kwa kuchangia chochote
 
Mkuu,

Unaamini Mungu yupo kwa sababu ulishaumwa ukajiombea kwa jina la Yesu ukapona?

HIki ndicho kinakufanya uamini Mungu yupo?
 
DINI ni hadithi za kutumgwa
Lakin

Unaamini BigBang theory

Unaamini zamani Binadamu tulikua Sokwee

Dhaaah

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
AWACHOME MOTO SABABU YA MATENDO YAO MAOVU.
 
Mkuu Daudi1,
Kwenye pasaka mungu anawaambia wana wa israeli wapake damu katika vizingiti ili apate kufahamu sehemu waliyomo. embu tuondee mihemko.

Alishindwa kutambua sehemu walizopo na wakati anadai yeye yuko kila mahali?
Kwanza hata ujaisoma sehemu yenyewe

Kasome alaf uje uniambie alipita nani kwenda kuua wa misri uzao wa Kwanza

Alaf ww nani mpaka umpangie Mungu chakufanya

Alaf iloneno kupaka Damu linamaana kubwa Sana kibiblia sio kupaka Damu tuuui

Ndomana nasema Biblia ni Lugha ya mafumbo usisome kama Physics

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…