Kwahiyo mama yangu afanye hayo ili apate nini? mamq yangu alikuwa mama wa nyumbani,hakuwa na elimu yoyote ile,ameondoka tanzania na mumewe akiwa hajui kusoma wala kuandika,kasomea huko nje.Ni mama ambae alikuwa anajua kiangalia nyumba yake,mumewe na watoto wake,na alikuwa na marafiki wengi sana na wote aliishi nao kwa amani na furaha