Mikasa/vituko vya lodge

Bila shaka wewe haujawahi kuwa bodaboda na kama unabisha nenda vijiwe vya bodaboda halafu kawaulize kati ya kuwa walimu na kuendelea kuwa bodaboda kipi wanachagua halafu uone majibu yao
Kwa taarifa yako nimeifanya kwa miaka 3 na nimefanya utafit huo kwa kuuliza classless.

Swali langu lilikua very technique, asilimia 95 walisema bora kazi ya boda boda.

Swali langu lilikua, ikitokea mtu anakuchukua ukafanye kazi kwake kwa mwezi anakulipa laki 5 mfano kuuza duka, je utakubar!

Nafikir ni mitizamo tu maana namkumbuk dogo mmoja ana miaka 24 kajenga nyumba kwa kazi ya boda boda japo ndio wapo ambao maisha yanawaendea kombo na wapo walio fanikiwa.

Nimejifunza heshima ya pesa nayo ni muhimu maana bado boda kuchoma elfu 10 kwa ajili ya wanawake ni kawaida sana.

Jambo la msingi tusidharau kazi.

Wapo watu wanauza kuku tu lakin maisha wamewin kuliko unaefikir mkurugenzi.
 
Sasa mimi namjua mwalimu mwenye miaka 28 ana lodge mzuri tu pale mangaka, unadhihirisha haujawahi kuwa bodaboda wewe kwasababu hamna bodaboda wa kukataa ajira ya ualimu munaongea kiwepesi sana humu ndani
 
Sasa mimi namjua mwalimu mwenye miaka 28 ana lodge mzuri tu pale mangaka, unadhihirisha haujawahi kuwa bodaboda wewe kwasababu hamna bodaboda wa kukataa ajira ya ualimu munaongea kiwepesi sana humu ndani
Hoja ya msingi, hakuna ajira au kazi ambayo hazijawatoa watu.

Nakubariana na wewe wapo walimu wametoka kutokana na ajira hiyo, na wapo walimu wamefeli mpaka wanastafu hawana hata kiwanja.

Lakini pia wapo boda boda walio fanikiwa na walio feli.

Hata wauza samaki na mayai vivyo hivyo.

Never undermine any kind of economic activity in this world, otherwise hujatembea na kujichanganya kitaa wewe ukaona watu wanavyoingiza pesa kizembe.

Kuna hawa wapiga debe( salange)au bus agence, wao kurudi na elfu 50 ni kawaida sana sema tatizo baadhi yao elimu ya pesa ndo hawana japo wapo waliojenga na kumiliki usafir murua.

Nyie ndo mnaendaga car wash full dharau usijue idadi na pesa anayoingiza pale anakuzidi 10times. Teh.! Teh!
Life very interesting.

Ndo maana kuna watu unamuhudumia unaona kabisa anaonesha dharau za wazi wazi kuona unafanya kazi ndogo hasa hawa wanachuo unakuta anasoma chuo sijui nini huko umembeba kwenye boda kama mteja hizo dharau sasa.!!!

Wewe unapiga kimya unabaki kumsikitikia tu moyoni,mwisho unachukua chako unasepa.!

Kazi ya boda imenifunza mengi sana.! Binadamu tuache dharau hata Mungu hapendi.
 
Hebu nikuambie kitu kimoja na ukiweke akilini kipato kinachotokana na kazi ya bodaboda ni kigumu mno na chakubahatisha sana,mimi ni mpambanaji tangu nipo mdogo hakuna kitu mtu atanidanganya kwenye sekta hii ,kwanza mara nyingi kipato cha bodaboda hakiwi na mtiririko sawa unaweza kukaa kutwa ukapata 3000 bado haujala hapo,mbunge wa lulindi wa zamani kiukweli namjua nje ndani na hanizidi kwa kuwekeza ila haiondoi ukweli kwamba kuwa mbunge ni bora zaidi kuliko kuwa na hizi shughuli ninazofanya mimi hata kama nimemzidi yeye
 
kazi mbaya ikishakuwa yako wakati ukiwa bodaboda ulikuwa unatamani hiyo kaz sasa hv umepata unatamani boda boda. so chamsingi ukishindwa kufanya unachopenda basi penda unachofanya. kuhusu kipato hakuna kipato kidogo au kikubwa, ukubwa na udogo ni kile unachobakiwa nacho baada ya matumizi. kuna watu wanalipwa laki3 wanabana matumiz nakubaki na pesa wkt kuna wengine wanaingiza zaidi ya millioni baada ya siku 10 hawana hata senti.. kipato ni kile kinachobakia baada ya matumizi ndo ujira wako huu ndo uliojilipa baada ya kulipa wengine woote
 
Sahihi.
 
Wewe mbuzi dili na huyo huyo achana na mm nitakupoteza ndani ya siku 2 alafu nikuweke hapa jukwaani...!! Utoamini.
Yaani wewe ni kama una chuki zako sasa ulikua unatafuta namna ya kunianza. Nipo hapa nasubiri unipoteze, eti sitaamini [emoji23] kwa kipi hasa? Ndio ukome kuvamia yasokuhusu. Nakusubiri tena leo leo unipoteze.
Wewe ndio ulinianza eti najidai mjuaji haya wewe usie mjuaji unachoumia kitu gani? Ulitaka akutag wewe kuwa ndio mlishirikana kuchafua lodge ya watu? Una wazimu si bure. Haya nasubiri kupotezwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana nae usijichoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…