Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tupunguze vimdomo [emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601]
Sema alishajisalimisha kwa Mungu, hawezi tena fanya hayo japo mimi bado nasisimka aisee [emoji23][emoji23][emoji119]

Mimi angekuja kwangu angekutana na mwanga usoni kama ule aliokutana nao kipindi ameweka tego kwa yule mama mwenye nguo ya kitenge.
 
Aisee huyo Ashura mimi ningeenda naye sambamba
Ningeongeza ratiba na Muda wa kuomba..ningeomba sana na nisingefwata masharti yake tuone nani mjanja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara nitokewe usiku bure
Twende kimya kimya baby mwendo wa likes tu[emoji1430]
Kama alivyomtokea yule dada ake Zainat na mume wa shemeji yake.
Anasema"wewe hunijui"utanitambua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji86]
 
Wewe sasa unataka kumpoteza mwenzio.
Hiyo dawa inahamasisha uzinzi na uzinzi ni dhambi...
Jamaa muache auze tu vitabu kuponya nafsi za watu..hayo ya dawa mbona watu wapo wengi sana wanauza,anayetaka akatafute huko.
 
Wewe sasa unataka kumpoteza mwenzio.
Hiyo dawa inahamasisha uzinzi na uzinzi ni dhambi...
Jamaa muache auze tu vitabu kuponya nafsi za watu..hayo ya dawa mbona watu wapo wengi sana wanauza,anayetaka akatafute huko.
Uzinzi tunafanya Sana. Hiyo dawa inaweza kurudisha heshima nyumbani
 
Uzinzi tunafanya Sana. Hiyo dawa inaweza kurudisha heshima nyumbani
Mbona watu wengi sana wanaziuza hizo dawa
Kwani umekosa huko?
Kwahiyo kama uzinzi watu wanafanya..ndiyo iwe sababu ya yeye kuuza hizo dawa?
Msitake kumrudisha mwenzenu kwenye uovu ili hali alishatoka huko.

Mungu atampa biashara nzuri halali ya kufanya na mambo yake yatakuwa sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…