Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Muda mwingine muwe mnanyamaza,nani anapenda kubembelezwa?,sasa kwa mfano wewe umenibembeleza nini?,hivi unadhani hata nikiacha kusimulia utanifanya nini kwa mfano?.Ngoja basi nikaushe zangu maana humu JF kila mtu ni mjuvi wa mambo.
Hapo nilipoishia kwa waliojifunza itawasaidia,lakini kama kazi yako ilikuwa ni ku-critisize kila kitu,tafuta sehemu ambayo unaweza kuwa comfortable zaidi.
Shusha vitu mkuu... hujawazoea watu wa humu tu.

Utani tu usichukulie hivyo
 
Muda mwingine muwe mnanyamaza,nani anapenda kubembelezwa?,sasa kwa mfano wewe umenibembeleza nini?,hivi unadhani hata nikiacha kusimulia utanifanya nini kwa mfano?.Ngoja basi nikaushe zangu maana humu JF kila mtu ni mjuvi wa mambo.
Hapo nilipoishia kwa waliojifunza itawasaidia,lakini kama kazi yako ilikuwa ni ku-critisize kila kitu,tafuta sehemu ambayo unaweza kuwa comfortable zaidi.

Hee Lwanda Mimi na shunie tuna taniana jamani wala haihusiani na wewe
Looh utani umeniponza [emoji1381]‍♀️
 
Muda mwingine muwe mnanyamaza,nani anapenda kubembelezwa?,sasa kwa mfano wewe umenibembeleza nini?,hivi unadhani hata nikiacha kusimulia utanifanya nini kwa mfano?.Ngoja basi nikaushe zangu maana humu JF kila mtu ni mjuvi wa mambo.
Hapo nilipoishia kwa waliojifunza itawasaidia,lakini kama kazi yako ilikuwa ni ku-critisize kila kitu,tafuta sehemu ambayo unaweza kuwa comfortable zaidi.
@Maya Angelou uje hapa umeyataka
 
Mkuu Lwanda Magere kwa uwezo wako ulikuwa unaweza jua majina halisi ya JF members?

Kama ndio, basi hatuko huru tunavyodhani [emoji3]
 
Mkuu ningekuwa bado niko kwenye hizo enzi bila shaka kuna watu humu ningewakung'uta bakora za kim-kakati mpaka waache dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hahahahaha aiseee..... mi ningekuomba uingie tu kile kichumba useme "Malkia mruhusu Joka lenye makengeze amtafune Shunie kimasiara"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muda mwingine muwe mnanyamaza,nani anapenda kubembelezwa?,sasa kwa mfano wewe umenibembeleza nini?,hivi unadhani hata nikiacha kusimulia utanifanya nini kwa mfano?.Ngoja basi nikaushe zangu maana humu JF kila mtu ni mjuvi wa mambo.
Hapo nilipoishia kwa waliojifunza itawasaidia,lakini kama kazi yako ilikuwa ni ku-critisize kila kitu,tafuta sehemu ambayo unaweza kuwa comfortable zaidi.
Ndo' mlivyo nyie waleta visa humu, unaleta kisa mtindo wa episodes, mbeleni unaikacha stori kwa kusingizia wakosoaji au majukumu kumbe mna malengo yenu!

Mfano kama wakosoaji wawili watatu watakosoa kuhusu stori au kukuudhi wewe unakacha stori mazima hujui kuwa una wafuatiliaji mamia kwa mamia wanafuatilia kimya kimya?

Ukikacha stori inamaana umetupotezea muda wetu kwa kukufuatilia muda wote na unatuathiri kisaikolojia? Ningekuwa moderator ningekuwa nawapiga ban wanaoleta visa nusu humu na kuvifuta visivyoendelezwa ili kulinda hadhi ya jF!
 
Back
Top Bottom