Itoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.usanii gani tena boss [emoji28][emoji28][emoji28]
Yeye aendelee kuandaa storiLwanda mkuu tuendelee watu wengine hata kuwajibu ni kupoteza muda
Huwezi kuokota jiwe na kurusha kwa kila mbwa anae bweka
Kama ni stori za uongo kwanini umekuja kuzisoma??Itoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.Yeye aendelee kuandaa stori
Hawa wasaidizi was Malkia tutapambana nao
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.Lwanda mkuu tuendelee watu wengine hata kuwajibu ni kupoteza muda
Huwezi kuokota jiwe na kurusha kwa kila mbwa anae bweka
Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.
Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa boss, ila huo upande wa pili unaozungumzia ni upi huoItoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi mapunda wewe mbwa mwituFoolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo mjinga.Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.
KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.
VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
This is a FREE FORUM, labda kama hii thread ni ya waliookoka as you claim, ila kama ni free forum basi kila mtu ana haki ya kusoma na kukanusha kile ambacho anaona SIO SAWA, kukanusha kwangu iakufanye wewe uendelee kuamini unachoamini, siwezi kukutoa huko na sina huo MUDA sababu naheshimu mipaka ya KIIMANI, lakini nitapinga siku zote mada kama hizi haswa stori za sijui nilikua wakala wa Giza sasa nipo nuruni, unafiki na uzandiki wa aina hio popote pale nitakapouukuta nitaupinga, mipaka ya KIIMANI iheshimiwe na kila MTU, usianzishe kitu ili kuleta ana kuonesha IMAGE MBAYA ya upande mwingine wa watu wanachoamini na kuendelea kuamini kwenye maisha yao ya kila SIKU.Kama ni stori za uongo kwanini umekuja kuzisoma??
Mtoa mada alilazimisha mtu kuja kusoma??
Si umejileta mwenyewe huku!
Hutaki kusoma basi acha!
Waachie wanaotaka kusoma wasome.
We tupishe usituvuruge bwana na ujinga wako.
Tangu mwanzo nimekusoma sana unapambana kumkatisha tamaa mtoa mada.Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua ni free forumn.This is a FREE FORUM, labda kama hii thread ni ya waliookoka as you claim, ila kama ni free forum basi kila mtu ana haki ya kusoma na kukanusha kile ambacho anaona SIO SAWA, kukanusha kwangu iakufanye wewe uendelee kuamini unachoamini, siwezi kukutoa huko na sina huo MUDA sababu naheshimu mipaka ya KIIMANI, lakini nitapinga siku zote mada kama hizi haswa stori za sijui nilikua wakala wa Giza sasa nipo nuruni, unafiki na uzandiki wa aina hio popote pale nitakapouukuta nitaupinga, mipaka ya KIIMANI iheshimiwe na kila MTU, usianzishe kitu ili kuleta ana kuonesha IMAGE MBAYA ya upande mwingine wa watu wanachoamini na kuendelea kuamini kwenye maisha yao ya kila SIKU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.sawa boss, ila huo upande wa pili unaozungumzia ni upi huo
uko sahihi mkuu kwa maono yako, ila mtoa mada amezungumzia historia ya maswahibu yaliyomkuta kwenye maisha yake na kueleza upande alipo sasa. Ila lengo lake ni kushare na sisi tusiweze kutumbukia humo na hta kama akitangaza injili sidhani kama ni rahisi kubadilisha imani za wengine humuFoolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha kukuchallenge kwangu Mimi isikuzuie wewe kuendelea kufanya unachofanya MKUU SANA, lakini mahali ambapo nitakuta unafiki kama huu nitausema na kuupinga, sitarajii wewe kukubaliana na nachosema lakini Mimi nitakua nimeshatekeleza wajibu wangu wa kuukemea UONGO na UNAFIKI unaoendelea kwa sasa, wewe kuendelea ama kutoendelea hainihusu kabisa, wewe kuuza kopi milioni ama kuuza kopi elfu hainihusu kabisa, na zaidi hakuna aliyenituma ni wasiwasi wako tu ambao hauna msingi wowote hahaaha cheers!Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.
KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.
VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMUMkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.
KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.
VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
Punguza hasira binti/kaka ! Elewa tu simple logic.Sisi mapunda wewe mbwa mwitu
Mjinga mwenyewe...hovyoo!
Jitu zima unakuja kuhangaika hapa!
Kuna mtu amekushika miguu kukaa hapa?
Acha kizabinazabina chako!
Logic zako pelekea ndugu zako.
Wewe pamoja na mapepo yako mmeshindwaHahaaha kukuchallenge kwangu Mimi isikuzuie wewe kuendelea kufanya unachofanya MKUU SANA, lakini mahali ambapo nitakuta unafiki kama huu nitausema na kuupinga, sitarajii wewe kukubaliana na nachosema lakini Mimi nitakua nimeshatekeleza wajibu wangu wa kuukemea UONGO na UNAFIKI unaoendelea kwa sasa, wewe kuendelea ama kutoendelea hainihusu kabisa, wewe kuuza kopi milioni ama kuuza kopi elfu hainihusu kabisa, na zaidi hakuna aliyenituma ni wasiwasi wako tu ambao hauna msingi wowote hahaaha cheers!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo logic ukielewa mwenyewe zinatosha.
Yaani apoteze muda wake kuja kukuogopesha mjinga kama wewe??Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMU
Sent using Jamii Forums mobile app