Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

usanii gani tena boss [emoji28][emoji28][emoji28]
Itoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni stori za uongo kwanini umekuja kuzisoma??
Mtoa mada alilazimisha mtu kuja kusoma??
Si umejileta mwenyewe huku!

Hutaki kusoma basi acha!
Waachie wanaotaka kusoma wasome.

We tupishe usituvuruge bwana na ujinga wako.
 
Yeye aendelee kuandaa stori
Hawa wasaidizi was Malkia tutapambana nao
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lwanda mkuu tuendelee watu wengine hata kuwajibu ni kupoteza muda
Huwezi kuokota jiwe na kurusha kwa kila mbwa anae bweka
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ni wanafiki, nyie ndio hua mnazunguka kuwashawishi watu wahamie upande mliopo nyie, upande uliopo kwanini unaamini kua ndio mahala sahihi hadi kuwashawishi wengine wahamie kwako..ni kwanini, ina mana hamna heshima na imani za wengine ..kwanini mtumie nguvu kubwa kuwaaminisha mnaokutana nao wahamie upande mliopo, ndipo linapokuja swali kwa mleta stori, sababu haswa ya yeye kuleta stori hii ni nini, Je ni kuhamasisha watu wahamie upande aliopo yeye au ni kuuza kitabu, ni vidhibitisho vipi ambavyo ameweza kuvitoa hapa zaidi ya mere words kua huko alikokua alikua hayuko mahala sahihi, na huko alikokua alifanya "mabaya" sijui , sababu hata Mimi naweza kuja hapa na kuandika nilikua upande Fulani na nikafanya kitu Fulani , those are just WORDS ..picha za sijui mkono ulitobolewa hakuna udhibitishi wowote hata Mimi naweza kuumia mkono nikapona then nikaja kuandika kua nilitobolewa na jini.

Mwisho nataka kusema kila mmoja aheshimu IMANI ya mtu, nime challenge hicho alichoandika maparagraph kibao hadi watu wanashindwa kufanya kazi sababu ya kusubiri stori, kua hana mamlaka ya kusema upande Fulani ni kubaya , huku kwake aliko sasa ndio kuzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.

KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.

VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
 
Itoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa boss, ila huo upande wa pili unaozungumzia ni upi huo
 
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi mapunda wewe mbwa mwitu
Mjinga mwenyewe...hovyoo!

Jitu zima unakuja kuhangaika hapa!
Kuna mtu amekushika miguu kukaa hapa?
Acha kizabinazabina chako!

Logic zako pelekea ndugu zako.
 
Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.

KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.

VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
Achana na huyo mjinga.
Huyu fala si ajabu ametumwa na Malkia aje kukuvuruga.

Wewe endelea kutuhadithia..
Sisi tutamjibu kwa niaba yako.
 
Kama ni stori za uongo kwanini umekuja kuzisoma??
Mtoa mada alilazimisha mtu kuja kusoma??
Si umejileta mwenyewe huku!

Hutaki kusoma basi acha!
Waachie wanaotaka kusoma wasome.

We tupishe usituvuruge bwana na ujinga wako.
This is a FREE FORUM, labda kama hii thread ni ya waliookoka as you claim, ila kama ni free forum basi kila mtu ana haki ya kusoma na kukanusha kile ambacho anaona SIO SAWA, kukanusha kwangu iakufanye wewe uendelee kuamini unachoamini, siwezi kukutoa huko na sina huo MUDA sababu naheshimu mipaka ya KIIMANI, lakini nitapinga siku zote mada kama hizi haswa stori za sijui nilikua wakala wa Giza sasa nipo nuruni, unafiki na uzandiki wa aina hio popote pale nitakapouukuta nitaupinga, mipaka ya KIIMANI iheshimiwe na kila MTU, usianzishe kitu ili kuleta ana kuonesha IMAGE MBAYA ya upande mwingine wa watu wanachoamini na kuendelea kuamini kwenye maisha yao ya kila SIKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu mwanzo nimekusoma sana unapambana kumkatisha tamaa mtoa mada.
Chuki zako za kijinga peleka kwenu.

Unajiona kichwaa[emoji57]
Nini kimekukalisha hapa tangu mwanzo wa mada hadi sasa?
Si ni kiherehere chako mwenyewe!

Usitusumbue..hutaki kuona ondoka bwana weee
Mada ziko nyingi.
Umeing'amg'ania hii mada kama nzi kwenye kidonda.

Wewe ni pepo wewe,,
Na tutakuombea mapepo yako yakutoke.
 
This is a FREE FORUM, labda kama hii thread ni ya waliookoka as you claim, ila kama ni free forum basi kila mtu ana haki ya kusoma na kukanusha kile ambacho anaona SIO SAWA, kukanusha kwangu iakufanye wewe uendelee kuamini unachoamini, siwezi kukutoa huko na sina huo MUDA sababu naheshimu mipaka ya KIIMANI, lakini nitapinga siku zote mada kama hizi haswa stori za sijui nilikua wakala wa Giza sasa nipo nuruni, unafiki na uzandiki wa aina hio popote pale nitakapouukuta nitaupinga, mipaka ya KIIMANI iheshimiwe na kila MTU, usianzishe kitu ili kuleta ana kuonesha IMAGE MBAYA ya upande mwingine wa watu wanachoamini na kuendelea kuamini kwenye maisha yao ya kila SIKU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua ni free forumn.

Mbona unahangaika sana kung'ang'aniza ulokole uwe usanii??
Si ndio kuvurugwa kwenyewe huko??

Kichwa chako hakipo sawa.
 
sawa boss, ila huo upande wa pili unaozungumzia ni upi huo
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa sababu watu walikuwa mbali sana na ulinzi wa Mungu.

Hakuna mahali popote nilipokashifu dini ya mtu.
 
Foolish you. Mmeshindwa kuelewa even a simple logic, mnadhani nipo hapa kupambana na mleta mada, Mimi sina huo muda, nimesema tuache UNAFIKI wabongo, na sababu zipo hapo juu za kwanini tuache unafiki. If you didn't even understand this simple logic then its fair that mnapelekeshwa kama mapunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuu kwa maono yako, ila mtoa mada amezungumzia historia ya maswahibu yaliyomkuta kwenye maisha yake na kueleza upande alipo sasa. Ila lengo lake ni kushare na sisi tusiweze kutumbukia humo na hta kama akitangaza injili sidhani kama ni rahisi kubadilisha imani za wengine humu
 
Mkuu neno langu ni moja tu,KISA HIKI NITASIMULIA HAPA MPAKA KIISHE NA NITASEMA UKWELI WA KILE NILICHOPITIA KATIKA MAISHA YANGU BILA KUFICHA CHOCHOTE,KAMA NI KUPASUKA WEWE PASUKA,KAMA NI KUNUNA WEWE NUNA SANA.

KWA TAARIFA YAKO HAO WALIYOKUTUMA WAAMBIE LABDA WAIFUTE JF.

VITABU NILISHACHAPISHA NA VINAUZIKA KAMA NJUGU,NIMEYAFUNUA YOTE NILIYOYAFANYA KAMA NI KUFA WEWE KUFA.
Hahaaha kukuchallenge kwangu Mimi isikuzuie wewe kuendelea kufanya unachofanya MKUU SANA, lakini mahali ambapo nitakuta unafiki kama huu nitausema na kuupinga, sitarajii wewe kukubaliana na nachosema lakini Mimi nitakua nimeshatekeleza wajibu wangu wa kuukemea UONGO na UNAFIKI unaoendelea kwa sasa, wewe kuendelea ama kutoendelea hainihusu kabisa, wewe kuuza kopi milioni ama kuuza kopi elfu hainihusu kabisa, na zaidi hakuna aliyenituma ni wasiwasi wako tu ambao hauna msingi wowote hahaaha cheers!

Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMU

Wewe pamoja na mapepo yako mmeshindwa
Kajipangeni tena!

Kafanye wewe unachoona ni sawa.
Kahubiri na wewe unayoona sawa.

Mungu alishampa kibali cha kuhadithia,hakuna kima anayeweza zuia.
 
Na zaidi sote tutakufa, hakuna atakayebaki mana naona umehamia kwenye kufa sasa, sasa sijui unetamka ili kuniogopesha ama vipi, kifo ni mojawapo ya stages za kisayansi za mwanadamu lazima apitie kama sisi tulivyotoka kua MANYANI na kua BINADAMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani apoteze muda wake kuja kukuogopesha mjinga kama wewe??

Wewe nenda zako bwana.
 
Back
Top Bottom