Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Itoshe kusema mada nyingi za namna hii zinazoanzisha humu na nyingine za huko mitaani na kwa manabii na mitume , nyingi hua asilimua kubwa ni FICTION STORIES, nyingi zinakua zimekua IMPLANTED uongo mkubwa, sababu ni kuonesha kua upande mwingine wa imani ya watu wanachokiamini na kukisimamia ndio WABAYA, sababu ukishasoma automatically uta conclude kua another side ni WABAYA, in which SIO SAWA, na wengi wamegundua hizi ndizo watu wanapenda kusikia, sasa sjajua lengo ni nini haswa, kuuza kitabu, kupata wafuasi wengi kwenye kanisa au upande mhusika aliopo ama vipi.usanii gani tena boss [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app