Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Hapa nimejifunza kitu..
Usione mtu kachepuka/kakuacha /upendo umepungua ukajua ni hali ya kawaida aisee jamani maombi ni muhimu sana kwenye mahusiano/ndoa zetu, Mungu atusaidie kwakweli..
Kweli kabisa maombi ni muhimu sana.
 
Reactions: ABJ
Hip mji ni kiwila
 
Mkuu sorry naomba Kama ikiwezekana chimbua chimbua kidogo kwenye hayo matukio unapo sababishia ajali. Naona Kama untupitisha juu kwa juu Ila niseme ukweli we jamaa unajua kusimulia big up kwako.
 
UPO SAHIHI KABISA.

MKUU NAOMBA UNIFANYIE MPANGO COPY YA HICHO KITABU MAANA NIMEKITAFUTA MWAKA WA PILI HUU!!
 
Wakuu yeyote anayetaka kunitumia hela ya mafuta(Mbs)basi anaweza kunitumia kwenye namba hii 0768173820.Majina ni FREDERIKA JAMES
Nipigeni tafu ndugu zangu japo pia si lazima bali ni ombi tu ndugu zangu
Nilikuwa nashauri pia hizi contacts uziweke mwisho wa kila post yako, ili namba zako ziwe rahisi kuwa traced...!!

We're together in this one usijali.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…