Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Kwahiyo watu walikuwa wanaenda chumvin bila kujua...ndo maaana kila nkienda kula baadhi ya migahawa huwa najikuta nadindisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona Jambo limekukonga moyo
π•‚π•¦π•Ÿπ•’ π•žπ•¦π••π•’ π•žπ•’π•žπ•“π•  π•žπ•’π•«π•¦π•£π•š 𝕙𝕦π•₯π• π•œπ•’π•Ÿπ•’ π•Ÿπ•’ π•ͺ𝕒𝕝𝕖 π•žπ•’π•“π•’π•ͺ𝕒 π•žπ•œπ•¦π•¦. π•Ÿπ•’π•₯π•’π•œπ•’ π•Ÿπ•šπ•₯𝕖𝕀π•₯ π•žπ•šπ•₯π•’π•žπ•“π•  π•žπ•¨π•šπ•€π•™π•  𝕨𝕒 π•žπ•¨π•’π•œπ•’ 𝕙𝕦𝕦[emoji4][emoji4]
 
Ulete mkuu watu wapate dawa.
 
Acha niendelee kuupitia na huu uzi wakati nasubiria hapa
 
Hii habari imenitisha. Siku chache zilizopita nimetoka kupata msosi kwenye mgahawa hapo hapo Uyole karibu na zinapopaki Coaster za Dar.

Hahahaha pale wanauza mbuzi na ng’ombe kuna rost na nyama ya kuchoma..

Pale napo kuna wateja htr...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…