Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Sawa
 
Aisee baada ya kusoma hii comment nimekutana na bonge la mrembo, kumsalimia anasmile tuu, Ila nilipokumbuka hii wala sikujipendekeza kuomba namba.
 
Hii simulizi kwa humu Ilikua inachagizwa sana na comments za wadau. Sasa kule telegram sidhani kama kuna hii Ladha.
 
Hii simulizi kwa humu Ilikua inachagizwa sana na comments za wadau. Sasa kule telegram sidhani kama kuna hii Ladha.
kumepoa jamaa mvivu amekula buku buku kwasiku anashusha vi short episode......ana base kwenye ngono tuuu nimeamua kuondoka bila kushawishiwa na mtu yeyote.....
 
kumepoa jamaa mvivu amekula buku buku kwasiku anashusha vi short episode......ana base kwenye ngono tuuu nimeamua kuondoka bila kushawishiwa na mtu yeyote.....
Wabongo bhana ni watu wa ajabu sana....stori ilivyokuwa humu mlisema ashushe stori yote bila kuruka kitu.

Sasa mdau anaelezea jinsi anavyopiga bakora eti umesusa....eti umeleft, mbona mim sijaona mtu aliyeleft hilo group au ndo unatafuta sifa kwamba muungwana sanaaaa
 
kwani ni wasap pale kwamba utaona left
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…