Setting na location nakupata vyema hujatoka nje ya mstari.Ila Kuna mwalimu mkuu miaka hyo hapo Turwa uliposoma aliwah kufanyiwa kitu mbaya na jini alilokutana nalo njian akidhani ni mwanamke wa kawaida.
Huyo mwalimu baada ya kuelewana na yule mdada wakaenda guest house, mwalimu alifanya Mambo yake, baada ya kumaliza yule jini akambadilikia( akamuomba mchezo mwalimu mkuu) doh kasheshe ikaanzia hapo, ila kwa nguvu za yule jini alimuweza mwalimu kwa hiyo ticha akufumuliwa marinda.
Kwa kufupisha yule mwalimu hadi leo ni kilema anatembelea magongo chanzo ni yule jini, huwa anaadisia mwenyewe na anajilaumu Sana kupayukia mwanamke asiyemjua, kama atakuwa ajastafu bado atakuwa hapo shule.kawa kilema kabisa