Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

weka picha
 
Mkuu naomba hiyo namba ya kutuma pesa nami nijiungr huko.
Hii story nmeshaikosa ingawaje nmetuma buku ya mb,masimu ya kichina yakshajaa vitu vingi huwa hayaruhusu kudownload ktu,n bora utumie WhatsApp maana kila mtu anayo
 
Telegram ni km jf tu unatumia username una hide kila kitu hakuna anaekujua huyu lwanda mwenyewe huku telegram hatumjui

Na buku sio kitu hata km unalipia stori kuna vitabu vinaizwa 20 jmn eb acheni kupenda vitonga mtu anatumia bundle na muda wake kukufurahisha unataka iwe bure

 
Jamani lupatu
Mkuu lupatu Ndiyo wapi nifungueni akili
 
Yaani Shigongo siyo?
 
Yaani Shigongo siyo?
 
Safi sn kwa mtililiko mzuli ila kwa sasa nakushauli uwe unandika pembeni kama hivi ukiona mtililiko wa matukio ya kuona kwa uhalisia siku ata director akapata adia ya true story....jamaa yako anapatikana wpi apa apa dar au nje ya dar?
 

Mkuu sema simu yako haitumii Telegram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi tunaenjoy Stori balaaa.
 
Duh nasikia na huko telegram Napo anapost anapojisikia mwanzo ilikuwa episodes zaidi ya tatu kwa siku ila sasa hivi hata hiyo moja mpk abembelezwe na pesa kachangiwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana. Mkuu jiunge tu telegram usome story acha kuumia ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…