Ushauri kwa
LwandaMagere we si upo mwanza mzee mtafute basi zabroni mwita akusaidie mtoe kitabu bila shaka wengi wana mjua ana kitabu cha sitoisahau gamboshi Maana ye alishachukuliwa na wachawi na kupelekwa ukogamboshi ila mungu mwema alifanikiwa kurudi duniani mzee kitabu hiki utapga pesa ndefu zabron alishapata mpaka m 100 na machenchi kupitia ushuhuda wake. kwa hicho kitabu chake alafu hapa usiache kusimulia, maliza na ukitoa kitabu utapiga pesa mim nimesoma kitabu chake zabron alinitumia kwa wasap through hard copy lakini pia kuna Chanel ipo YouTube ya davistar mata media story take ipo furu mpka zabron mwenyewe unamuona akisimulia na ameshawai simulia redio free Africa hii sitosahau gamboshi wengi humu wanamjua juzi kati ndio kamalizia story yake. Kwaiyo zabron alisimulia story yake ya maisha na akatoa na kitabu so asikuzie mtu kusimulia eti kisa autauza kitabu waongo, izo pesa sasa ndio utapata kwenye hiki kitabu. NB sija tangaza biashara ya mtu nimetoa ushauri kwa mshkaji maana naweza pokea mapovu kibao kwa watu ambao sio waelewa, ZABRON anafahamika na wengi wana mjua na hii story ya sitosahau GAMBOSHI mpaka boss wa publish jina kapuni ambae anajulikana kwa hadithi nyingi gazetini alitaka kumtapeli ambae saiz ni muheshimiwa mkubwa tu mjiongezee na bila shaka msha elewa ndio ivyo mzee ushauri wangu kwako.