Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Sijasema kuwa hajibu kwa ufasaha, nazungumzia uandishi wake wa story ni tofauti na uandishi wake kwenye comments zake. Kwenye comments kuna makosa kibao kama yangu na yako lakini kwenye story makosa ya kiuhandishi ni kama hayapo kabisa. Kumbuka anadai anatuma simu kuandika.... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ndugu Allency unataka aelzee kila kitu mwisho utasema kalamu anatumia au penceli nyeupe au nyeusi hebu elezea shida yako hasa ni kitu gani ?
 
Ndugu Allency unataka aelzee kila kitu mwisho utasema kalamu anatumia au penceli nyeupe au nyeusi hebu elezea shida yako hasa ni kitu gani ?
Mkuu hayo ni maoni yangu, je kutoa maoni ni lazima niwe na shida? Au wewe ulivyotoa haya maoni yako ni kwasababu uko na shida?
 
Aisee malalamiko ni mengi Wakuu kwani mkidhulumiwa Buku kuna ubaya gani[emoji23][emoji3]

Simulizi ile ni Burudani kama movie tu ambayo ya mwisho imetoka 2019 part 2 2022 ,Hata akipotea mazima asiendeleze story ni sawa tu maana tukiachana na simulizi yapo mengi ya kufanya labda kama msomaji hana kazi...Kwahiyo ana hiari yake awalishe tango pori au kweli, Kwakua Main point ni Burudani/Kujifunza.
 
Buku sio tatizo hata ingekuwa zaidi ila tunauzoefu na mambo hayo story mara nyingi ikishaenda kwenye magroup wachangiaji huanza kumbembeleza mleta story ndicho kinachotokea huko na mlioko huko nasikia hamuwezi kulalamika poleni sana
Acha uwongo mzigo unashuka km kawa
 
Acha uwongo mzigo unashuka km kawa
Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ,kuna uzi ulikuwepo humu wenzenu wanalalamika kila siku kumchangia jamaa na story mpk abembelezwe sio maneno yangu ya wapigwaji wenzenu
 
Back
Top Bottom