Mikasa ya kweli (kufurahisha na kukera)

Mikasa ya kweli (kufurahisha na kukera)

Inawezekana hawa jamaa wanamwambia wake zao nyumbani hawajui kupika ila hapa wanakuna nazi vyema kushinda hata hao wanawake kwenye picha
2325533_tapatalk_1582041886263.jpeg
 
Wa Kenya wanawanyanyapaa wachina kuwashutumu wana virusi vya corona
 
Hahaha wachungaji wetu wana majungu sana siku hizi
 
Jamaa kaenda massage Parlor kufanyiwa body to body massage. Kapakwa mafuta mgongoni masseuse (mfanya massage) akamsugua mgongo na matako, baada ya massage kuisha jamaa kagoma kulipa eti mgongo mzima unanuka mavi 🤣🤣
 
Mama mwenye nyumba: Watoto wangu (KE) nawapa chips na tomato watoke makalio makubwa
Mpangaji Ostadh: Hata kama ukiwapa tomato watapata matako tu ya kwenda chooni sio ya kutingisha
 
Inasikitisha sana...

Mimi ni mpole sana kimuonekano na nina huruma sana, ila when it comes to my woman, ukimzingua hata muwe 100 ugomvi wake wewe/nyie na mimi hauishi...

Kenyewe kanajua ukorofu wangu...
 
Kindama kizuri ila..
Hahaha wewe dada mchokozi kweli kweli
Ila wanyama wakiwa watoto wanakuwa wazuri sana
Ukiona vitoto vya mbuzi unaweza tamani uvibusu busu tu
 
Inasikitisha sana...

Mimi ni mpole sana kimuonekano na nina huruma sana, ila when it comes to my woman, ukimzingua hata muwe 100 ugomvi wake wewe/nyie na mimi hauishi...

Kenyewe kanajua ukorofu wangu...
Samahani mdogo wangu kama nitakuwa nimekukosea
Mie humu msomaji sana kuliko mwandish

Unamzungumia dada anaitwa Mahandow ndo anajua ukorofi au kuna mwengine?

Big up, lazima umtetete mwanamke wako kwa namna yeyote ile hata kwa mawe
 
Hahaha wewe dada mchokozi kweli kweli
Ila wanyama wakiwa watoto wanakuwa wazuri sana
Ukiona vitoto vya mbuzi unaweza tamani uvibusu busu tu
Mi nalala nacho kabisa,tena vimbuz vitoto utukutu wao ule ni fahari tosha.Nawapenda wanyama
 
.
 
Back
Top Bottom