Mikasa ya mahusiano ya shule

Mikasa ya mahusiano ya shule

Amesema mahusiano ya shule, na mie ndo nimeeleza hivyo.

Ikija mada ya lini ulianza kutia/kutiwa, mbna ntafunguka vyedii mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutiana ashki tu, [emoji1751][emoji1751][emoji468][emoji468][emoji468]
 
Indeed, sihitaji kukumbuka zile moment maana najionaga mjinga kweli. Acha ipite tu.
 
Amesema mahusiano ya shule, na mie ndo nimeeleza hivyo.

Ikija mada ya lini ulianza kutia/kutiwa, mbna ntafunguka vyedii mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawaaaaaa😅
 
ilifika hatua shule nzima naonekana mtuwaajabu kuanzia wanafunzi wenzangu walimu hadi wazazi mtaani wakawa wanawaonya watotowao wakike wakaembali na mimi

darasa lasita ila mambo ya forma 6 kabisa yani.

hadi sasahivi mzee ananiona mhuni tuu

utotowangu nilikuwa mjinga wangono sanaa.
Kichomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bahati nzuri KUTIANA ni mojawapo ya basic needs za binadamu aliyefikisha umri stahiki
Bahati nzuri nimemjibu aliyeniambia sijiheshimu baada ya kuandika neno kutiana,sijakujibu wewe

Ama wewe na huyo pmm7 ni mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom