Mikataba batili ambayo akiondoka tu inafutwa sekunde hiyo hiyo maana haina baraka za "bunge" ( ingawa bunge haramu)

Wawekazaji sio wajinga. Watakuwa vipengele vingi vya kuwalinda. Inawezekana tukalipa fidia nyingi mikataba mibovu ikifutwa.
 
Tunatakiwa kupata kiongozi anayeweza kufanya kama Rawlings alivyofanya Ghana.
 
Back
Top Bottom