Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
nikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??The whole route to Moyale is complete.Sasa wewe nyani wa Kidanganyika unajua Kenya ama sisi Wakenya ndio tunajua nchi yetu….
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??The whole route to Moyale is complete.Sasa wewe nyani wa Kidanganyika unajua Kenya ama sisi Wakenya ndio tunajua nchi yetu….
Hata hayo maeneo yanaweza kugeuzwa na kulimwa tu. Israel ni kame hata kushinda Turkana na bado wanalima mimea aina zote. Siku hizi tunastahili kutumia teknolojia kama greenhouse, sio kutegemea mvua kama mababu zetu wa karne zilizopita. Hao wazungu wanaajiri Wakenya, wanalipa ushuru na wanaleta foreign exchange. Shamba zao haziko idle kama mashamba za Waafrika tajiri ambao mashamba zao ziko idle kwa ajili ya price speculation. Shamba la mzungu ambalo halitumiki basi litaifishwe ila shamba zao nyingi zinatumika kwa manufaa ya nchi, nyingi zinatumika kwenye kilimo. Tunastahili kutaifisha shamba lolote lisilotumika ila napinga kabisa kasumba ya kunyakua shamba la mzungu aliyeajiri waafrika mia tano na ni mlipaji ushuru mkubwa eti tu kwa sababu ngozi yake ni nyeupe. Ilhali unawacha shamba idle la mwafrika la ekari elfu hamsini kwa sababu ngozi yake ni nyeusi. Shamba ambalo linatumika na linaleta faida kwa nchi liendee kutumika hata kama ni la mzungu na shamba ambalo halitumiki basi litaifishwe na kuwekwa katika matumizi itakayonufaisha nchi.Mngekua mnaijua nchi yenu vizuri msingewapa wazungu ardhi yote nzuri yenye rutuba ili walime chai na kuwaacha Samburu na Turkna katika jangwa wakipigana huku mamia ya wakenya wakiishi kwa kutegemea chakula cha msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Major road in northern Kenya opens up trade with Ethiopianikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??
Isiolo–Moyale Roadnikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??
Tony254kuna sections bado haijakamilika! Unabisha nn falamanga wewe?
From AfDB
![]()
Project Summary
Approval Date 30 Nov 2011 Signature Date 03 Feb 2012 Planned Completion Date 31 Dec 2020 Sovereign / Non-Sovereign Sovereign Sector Transport DAC Sector Code 21023 Commitment U.A 105,000,000 Status Implementation
Multinational - Mombasa-Nairobi-Addis Ababa Road Corridor Project - Phase III
The Great North Road – A trip through the wild splendour of northern Kenya.nikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??
wikipedia sio?Isiolo–Moyale Road
Language
Download PDF
Watch
Edit
‹ The template Infobox road is being considered for merging. ›
The Isiolo–Moyale Road is a road section of the A2 Road in Kenya, connecting the towns of Isiolo, Archers Post, Marsabit, and Moyale. The road is a component of the Lamu Port and Lamu-Southern Sudan-Ethiopia Transport Corridor (LAPSSET) Project. It connects Kenya to Ethiopia, its neighbor to the north.[1]
Isiolo–Moyale Road
Route information
Length
313 mi (504 km)
History
Designated in 2008
Completion in 2017
Major junctions
South end
Isiolo
Archers Post
Marsabit
North end
Moyale
Highway system
Roads in Kenya
Isiolo–Moyale Road - Wikipedia
| Approval Date | 30 Nov 2011 |
| Signature Date | 03 Feb 2012 |
| Planned Completion Date | 31 Dec 2020 |
| Sovereign / Non-Sovereign | Sovereign |
| Sector | Transport |
| DAC Sector Code | 21023 |
| Commitment | U.A 105,000,000 |
| Status | Implementation |
10 things you didn't know about Isiolo-Moyale roadnikusikilize wewe fala badala ya AfDB ??
Sawa mimi sijawahi kushindwa debate na Mdanganyika. Yaani wewe unaamini Afdb pekee? Kama ni hivyo basi soma hapa Afdb wenyewe wanasema kuwa barabara hii ilikamilika 2016.wikipedia sio?
Mimi nabaki na AfDB
From AfDB
![]()
Project Summary
Approval Date 30 Nov 2011 Signature Date 03 Feb 2012 Planned Completion Date 31 Dec 2020 Sovereign / Non-Sovereign Sovereign Sector Transport DAC Sector Code 21023 Commitment U.A 105,000,000 Status Implementation
Multinational - Mombasa-Nairobi-Addis Ababa Road Corridor Project - Phase III
Oyaa mbona umeingia mitini. Hahaha huwa unafurahisha sana. Huwa unakuja na mioto sana halafu unakula mangoto unakaa chini. Sasa umepigwa 10 - nil umeamua kunyamaza, hahaha. Sawa siku njema, salimia watoto.
| Approval Date | 30 Nov 2011 |
| Signature Date | 03 Feb 2012 |
| Planned Completion Date | 31 Dec 2020 |
| Sovereign / Non-Sovereign | Sovereign |
| Sector | Transport |
| DAC Sector Code | 21023 |
| Commitment | U.A 105,000,000 |
| Status | Implementation |
huwezi muona Tony254 akiongea juu ya hii maneno!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜 Viongozi wa Kenya akili walibetia mechi gani?
Mbona wanatema mashudu hivi mbele ya camera 😂😂😂😂😂😂
Mirungi airport
Hii project ya Afdb inajumulisha section ya Kenya na section ya Ethiopia kwa pamoja. Afdb wenyewe wamesema section ya Kenya ilikamilika 2016 na ya Ethiopia itakamilika 2019. (Article yenyewe iliandikwa kabla ya mwaka wa 2019 kufika). Afdb walisema project yote haikuwa imekamilika kwa sababu section ya Ethiopia ilikuwa bado inajengwa. Kiingereza tatizo babu naelewaFrom AfDB wameweka completion date!
![]()
Project Summary
Approval Date 30 Nov 2011 Signature Date 03 Feb 2012 Planned Completion Date 31 Dec 2020 Sovereign / Non-Sovereign Sovereign Sector Transport DAC Sector Code 21023 Commitment U.A 105,000,000 Status Implementation
Multinational - Mombasa-Nairobi-Addis Ababa Road Corridor Project - Phase III
Nchi yenye kujali raia wake lazima kwanza ihakikishe kila raia mwenye kuhitaji ardhi ya kilimo kwa ajili ya kuzalisha chakula chake na jamii yake, anaweza kuipata kwa gharama ya chini sana, au bila malipo yoyote, ardhi kwa ajili ya uzalishaji wa chakula ambacho sio kwa ajili ya biashara ni miongoni mwa huduma za kijamii, serikali inao wajibu wa kuhakikisha kwamba huduma za kijamii zinapatikana kwa gharama nafuu au bila malipoHata hayo maeneo yanaweza kugeuzwa na kulimwa tu. Israel ni kame hata kushinda Turkana na bado wanalima mimea aina zote. Siku hizi tunastahili kutumia teknolojia kama greenhouse, sio kutegemea mvua kama mababu zetu wa karne zilizopita. Hao wazungu wanaajiri Wakenya, wanalipa ushuru na wanaleta foreign exchange. Shamba zao haziko idle kama mashamba za Waafrika tajiri ambao mashamba zao ziko idle kwa ajili ya price speculation. Shamba la mzungu ambalo halitumiki basi litaifishwe ila shamba zao nyingi zinatumika kwa manufaa ya nchi, nyingi zinatumika kwenye kilimo. Tunastahili kutaifisha shamba lolote lisilotumika ila napinga kabisa kasumba ya kunyakua shamba la mzungu aliyeajiri waafrika mia tano na ni mlipaji ushuru mkubwa eti tu kwa sababu ngozi yake ni nyeupe. Ilhali unawacha shamba idle la mwafrika la ekari elfu hamsini kwa sababu ngozi yake ni nyeusi. Shamba ambalo linatumika na linaleta faida kwa nchi liendee kutumika hata kama ni la mzungu na shamba ambalo halitumiki basi litaifishwe na kuwekwa katika matumizi itakayonufaisha nchi.
Jaribu kijikita kwenye data. Ukiangalia jinsi ardhi inavyotumika ni wazi kuwa wazungu wako productive sana na shamba. Halafu i find your reasoning very childish. Eti wewe sasa unaona kufanya ukulima wa majani chai au maua ni ujinga na upuuzi. Mtu yeyote ambaye amesomea mambo ya uchumi anaelewa kuwa sekta hizi ni muhimu sana katika nchi yoyote. Commercial farming ni muhimu hata kushinda subsistence farming. Subsistence farming haileti foreign exchange, haina faida kama commercial. Commercial pia inafanya nchi iwe industrialized haraka kwa sababu ya matumizi ya teknolojia ya kisasa. Kusema eti Kenya iwache kupanda maua na majani chai na kupoteza mabilioni ya dola ili tupande mahindi na maharagwe ni ujinga wa mwisho. Kilo moja ya mahindi iliyosagwa ni dola 0.6 ilhali kilo moja ya majani chai iliyokuwa processed ni dola 6. Kwa hivyo majani chai iliyokuwa processed ina bei mara kumi ya mahindi iliyosagwa.Nchi yenye kujali raia wake lazima kwanza ihakikishe kila raia mwenye kuhitaji ardhi ya kilimo kwa ajili ya kuzalisha chakula chake na jamii yake, anaweza kuipata kwa gharama ya chini sana, au bila malipo yoyote, ardhi kwa ajili ya uzalishaji wa chakula ambacho sio kwa ajili ya biashara ni miongoni mwa huduma za kijamii, serikali inao wajibu wa kuhakikisha kwamba huduma za kijamii zinapatikana kwa gharama nafuu au bila malipo
Serikali inaowajibu wa kuweka sera madhubuti za kuhakikisha kwamba, ardhi sio bidhaa ambapo inauzwa kutokana na nguvu ya soko "willing seller and willing buyer", mkifanya hivyo ni wazi kwamba ardhi yote nzuri itakua mikononi mwa matajiri wachache na kuwaacha wananchi wengi masikini bila ardhi, jambo linalosababisha vita na migongano miongoni mwa wananchi na matajiri.
Hii idea ya kwamba wazungu wanatoa ajira kwa wazawa, sio idea nzuri sana kwasababu hawa matajiri hawszalishi kutokana na mahitaji ya nchi, wao huzalisha kutokana na mahitaji ya soko la nje, matokeo yake ni kwamba "Africa produces what it doesn't consume, and we consume what we don't produce", matokeo yake ndio haya, kwamba pamoja na kwamba 80% ya wakenya ni wakulima, lakini wanategemea chakula cha msaada toka UAE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Isitoshe kumbuka majani chai ya Kenya huwa exported in semi processed form and processed form. Yaani Kenya imewekeza pesa nyingi sana kujenga industries za kuprocess majani chai. KTDA inamiliki industries nyingi sana ambazo zinaprocess majani chai. Majani chai kama Kericho gold au Ketepa au ya kibinafsi inayoitwa Finlays ni majani chai ambazo Zinakuwa processed hapa nchini kutumia industries zetu. Kusema eti hizi industries zifungwe ili tuanze kupanda mahindi na maharagwe halafu kuharibu zaidi tukose kuziexport bali tuzile ni ujinga wa hali ya juu. Maisha sio kufikiria tu mambo ya tumbo tu bila kufikiria ni kilimo gani itakuletea pesa ya kutosha kimaisha. Chakula unaweza nunua tu bora una pesa, sio lazima kila mtu alime mahindiNchi yenye kujali raia wake lazima kwanza ihakikishe kila raia mwenye kuhitaji ardhi ya kilimo kwa ajili ya kuzalisha chakula chake na jamii yake, anaweza kuipata kwa gharama ya chini sana, au bila malipo yoyote, ardhi kwa ajili ya uzalishaji wa chakula ambacho sio kwa ajili ya biashara ni miongoni mwa huduma za kijamii, serikali inao wajibu wa kuhakikisha kwamba huduma za kijamii zinapatikana kwa gharama nafuu au bila malipo
Serikali inaowajibu wa kuweka sera madhubuti za kuhakikisha kwamba, ardhi sio bidhaa ambapo inauzwa kutokana na nguvu ya soko "willing seller and willing buyer", mkifanya hivyo ni wazi kwamba ardhi yote nzuri itakua mikononi mwa matajiri wachache na kuwaacha wananchi wengi masikini bila ardhi, jambo linalosababisha vita na migongano miongoni mwa wananchi na matajiri.
Hii idea ya kwamba wazungu wanatoa ajira kwa wazawa, sio idea nzuri sana kwasababu hawa matajiri hawszalishi kutokana na mahitaji ya nchi, wao huzalisha kutokana na mahitaji ya soko la nje, matokeo yake ni kwamba "Africa produces what it doesn't consume, and we consume what we don't produce", matokeo yake ndio haya, kwamba pamoja na kwamba 80% ya wakenya ni wakulima, lakini wanategemea chakula cha msaada toka UAE.
Sent using Jamii Forums mobile app