Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?

Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?

Nsibwene

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
227
Reaction score
160
Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?
Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko.
Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano.
Ni mingapi imeanza?
Kumbe barabara nyingi za nyuma hazjakamilika halafu anafanya upuuzi wa hali ya juu kama huo.
Tena anasafiri na kuandaa mkutano mkubwa, pesa nying zimetumika.
Huyu alitakiwa aachishwe hata uwaziri.
 
Miradi mikubwa alisaini hasa miundombinu ya nchi lkn hakuna hata mmoja umeanza..
Hawa CCM ni wacheza Filamu za kihindi
 
Back
Top Bottom