makubaliano ya kila siku akipaki pikipiki hiyo
arejeshe Tshs. 10,000 na baada ya mwaka 1 bodaboda hiyo itakuwa ya
kwake,
10000x30=300000.
300000x12=3600000.
bodaboda inauzwa 1.6 >2m!
faida zaidi ya 2m kwa mwaka,na wewe umekaa nyumbani tu na mkeo wakati dereva bodaboda anapishana na,
1.magari.
2.majambazi au vibaka
3.Polisi.
na matatizo mengne kibao!
ajiri mwanao.
Jamani tuwe na huruma hata kama tunataka kuwasaidia, 10,000 kila siku kwa bodaboda ni nyingi sana. Kama unabisha jaribu wewe mwenyewe uendeshe uweke mafuta, ule na upate hiyo ela kila siku.
Mkuu wanapata sana pesa
Suala la mokataba Mkuu ni la kisheria.Unapaswa kutafuta Wanasheria wakutengenezee mikataba.Usipende vya bure. Kama uko tayari,tuwasiliane niitumikie tasnia yangu ya SheriaHello! Nataka kuanzisha biashara ya kununua pikipiki za usafiri kisha kukodisha kwa waendeshaji bodaboda hizo kwa makubaliano ya kila siku akipaki pikipiki hiyo arejeshe Tshs. 10,000 na baada ya mwaka 1 bodaboda hiyo itakuwa ya kwake, je mkataba wa biashara ya kukodisha bodaboda hiyo kwa makubaliano mazuri yenye dhamira ya kujenga uhusiano mzuri kisheria unatakiwa uweje au uwe na vitu gani, nikipata nakala nitashukuru zaidi.:A S kiss: