Sema hapo ndio penye ugumu,lakini hata mikwara tu sometime huwa inasaidia kuwashtua wezi,na wao kushtukaKila mwenye nia njema angetamani iwe hivyo, hofu yangu ni kuwa waliingia mikataba na unajua mambo ya mikataba yapo kisheria mkuu
Kuna jambo nimeandika hapo juu, ila sidhani kama nimefafanua vizuri kwa kueleweka.Hili suala ni very tricky kutokana na mifumo mibovu na kukosekana kwa Entertainment Lawyers.
Tukianza upande wa filamu, Mwigizaji akishapewa chake; biashara inaishia hapo na kinachobaki kwake, sana sana ni CREDITS tu!
Credit ni Fahari tu and of course, kwa Off-camera crew members (Mwigizaji hana tatizo), Credit inasaidia kukupa michongo cku za usoni.
Kingine cha kutarajia labda filamu husika ishiriki tuzo ambayo pia inatoa pesa kama zawadi na Mwigizaji awe ameshinda!
Kukosekana kwa Entertainment Lawyers kunasababisha Waigizaji (and other crew members) wakose baadhi ya benefits.
Benefit ya wazi kabisa ni Bonus!
Kwenye Matangazo, sifahamu system ya Kibongo inafanyaje! Kwa wenzetu, wao pia huwa na bonus endapo mauzo yanaongezeka kutokana na influence ya tangazo lako.
All in all, what matters ni kwamba Mkataba ulisemaje!! Kuna uwezekano mkubwa hana cha kudai
Na kweli hii wizara ina changamoto sana ya kibajeti.Drama. Hivi huyu waziri si alitaka hukumu ya yule kijana alielipa faini kwa kwa kosa la mtandao hukumu iangaliwe upya. Alifanikiwa? Wanakwepa tu wajibu wao. Wizara yenyewe bajeti ndogo sana.
Kweli Mkuu.Na kweli hii wizara ina changamoto sana ya kibajeti.
Na kampuni zenye nguvu kubwa ni za simu.Bongo mumezidi bwana, hivi kwani alikua halipwi?
niwajibu wa serekali kumfanyia matibabu mwananchi wake alie mgonjwa.
Ili msanii atoke kipato kinakuja kwenye malipo yakazi na matangazo. Bongo hamna matangazo ya maana, makumpuni yenyewe yenye kufanya kazi kweli mawili matatu tu, na biashara kiujumla bado patashika. Kwaiyo wasanii watakaofaidika niwachache tu mana huwez kuchukua wasanii 10 kwenye Voda iyo moja.
Sasa kama mnataka makampuni yalazimishwe mpaka pempas za mtoto wamsanii watoe wao mtadoda. hawawezi kukubali kabisa.
Na kuhusu kazi hakuna icho chakulipwa mana filmu kuuza copy 1000 ni ishu sasa pesa zitatoka wapi?
kama hujajanjaruka ukabeba ngada au kuuza mwili utakufa maskini tu kwa uhakika.
Mkataba wa makubaliano ukiwa kisheria ataangukia pua huyo waziri mpenda kikiWaziri Mwakyembe amesema hayo bungeni jana, sasa nikajiuliza hivi kama Mtu alishakosea kwenye mikataba itawezekana ku review na kunufaika upya?
Au hao "waliomnyonya" watumie tu uungwana na kumpooza Mzee?
Hiyo ni kiki ya waziri mpenda kiki utendaji sifuri,muzee wa kunyonyoka nywele mpka vu...ziMzee was a money making machine for others to spend.
Waziri Mwakyembe amesema hayo bungeni jana, sasa nikajiuliza hivi kama Mtu alishakosea kwenye mikataba itawezekana ku review na kunufaika upya?
Au hao "waliomnyonya" watumie tu uungwana na kumpooza Mzee?
Nadhani nimemsikia leo Waziri akisema kuwa kuna waliokwishakamatwa kule Mwanza.Sidhani kama Daktari wa Sheria Mwakyembe anaweza kusema hivyo, labda kisiasa. Kwenye Law of Contract kuna kitu kinaitwa Privity of contract.
Kwenye mkataba wa majuto na wafabyabiashara serikali ni Stranger tu.
Labda wapeleke mswaada wa sheria bungeni wa haki za wasanii
Abood alitupa maganda...!!Wabongo tumezulumiwa sana bila kujua.Mzee was a money making machine for others to spend.
Ulichokisema nimekielewa sana. Ni kweli, suala la utumiaji wana-Sheria ni dogo sana and I doubt kama wapo wanaotumia.Kuna jambo nimeandika hapo juu, ila sidhani kama nimefafanua vizuri kwa kueleweka.
Nimeongelea tabia ya Wasanii kutothamini weledi na kupenda kusimama wao kama wao a.k.a umimi.
Weledi ninaozungumzia ni kwa Wasanii kutambua taaluma nyingine, watambue ya kwamba kwenye tasnia ya filamu wao ni sehemu tu ya timu kuubwa inayofanikisha kazi zao, na miongoni mwao ni kama ulivyotaja hapo enterntainment lawyers n.k.
Ukosefu wa weledi umewapelekea kutoshirikiana/wakaribisha wadau wengine muhimu, na ile michezo waliyokuwa wanafanya ya mtu mmoja kuwa Mwandishi, Cameraman, director n.k.
Wasipobadili matazamo na kuruhusu weledi watapiga marktime miaka nenda rudi....bila kusahau umoja, nguvu yao ndio itawapa maslahi na kuzuia wababaishaji kuwanyonya hao wenye vipaji vyao kama kina Mzee Majuto na wengine.
Sio rahisi kila Msanii kuwa na lawyer, ila kama chama/kikundi wanaweza kuwa na lawyers atakayesaidia kwenye mikataba n.k.
Hapo umefafanua vizuri,Ulichokisema nimekielewa sana. Ni kweli, suala la utumiaji wana-Sheria ni dogo sana and I doubt kama wapo wanaotumia.
Lakini vilevile tatizo linakuwa kubwa zaidi kwa sababu SYSTEM yenyewe haitoi STAHIKI zote anazostahili Msanii!
Hii maana yake ni kwamba; Producer/Film Company inaweza kukupa mkataba wa kisheria. Lakini kwavile System haitoi Stahiki zote anazo-deserve Msanii; basi utakuta mkataba husika tayari hauna baadhi ya Stahiki muhimu kwa sababu mfumo wenyewe hautoi hizo Stahiki.
Which means, hata kama una Mwanasheria basi atatakiwa kufanya kazi ya ziada kutaka hiki na kile ambacho kwenye mkataba hakipo na hakipo kwa sababu the system doesn't offer such benefits!
Na hata kama Producer aka-amend mkataba na kuingiza yale uliyo demand bado unaweza kushindwa kuyapata kwa sababu mfumo haupo rafiki kukuwezesha kupata ukweli wa hizo Stahiki!
Tuchukulie suala la Bonus kwa mfano! Bonus ni moja ya Stahiki ambazo msanii anatakiwa kupata!
Wenzetu Bonus inakuwa offered baada ya ku-hit kiwango fulani cha mauzo! Hivi Bongo Movies unaweza kupata revenue halisi?!
Binafsi nimeshawahi ku-submit takribani mara 3 (bila mafanikio) kazi zangu kwenye advanced film industry...
Huko nako ukipeleka kazi unakutana na mkataba upo tayari and so, you either take it or pass unless kama wewe ni pro.
Lakini kwavile mfumo wenyewe tayari upo advanced; mkataba nao unakuta umeweka karibu Stahiki zote za msingi. Hata kama una-hire Entertainment Lawyer; kazi yake itakuwa ndogo tu... sana sana kuhakikisha ikiwa vipengele vyote vya mkataba ni rafiki. Kazi itakuwa ndogo kwa sababu stahiki zote muhimu zitakuwepo na kama kuna ku-negotiate labda ku-negotiate structure ya hizo stahiki!
Screenwriter kwa mfano! Kwa Hollywood kuna structure kuu mbili za compensation structure... ya kwanza ni percentage production cost na ya pili ni fixed price. So, kutokana na experience ya Entertainment Lawyer wako, anaweza kukushauri compensation structure tofauti na ile uliyopewa kwenye mkataba.
Umeeleza ukweli, swala la mikataba na kuiheshimu huenda sambamba na system iliyopo.Ulichokisema nimekielewa sana. Ni kweli, suala la utumiaji wana-Sheria ni dogo sana and I doubt kama wapo wanaotumia.
Lakini vilevile tatizo linakuwa kubwa zaidi kwa sababu SYSTEM yenyewe haitoi STAHIKI zote anazostahili Msanii!
Hii maana yake ni kwamba; Producer/Film Company inaweza kukupa mkataba wa kisheria. Lakini kwavile System haitoi Stahiki zote anazo-deserve Msanii; basi utakuta mkataba husika tayari hauna baadhi ya Stahiki muhimu kwa sababu mfumo wenyewe hautoi hizo Stahiki.
Which means, hata kama una Mwanasheria basi atatakiwa kufanya kazi ya ziada kutaka hiki na kile ambacho kwenye mkataba hakipo na hakipo kwa sababu the system doesn't offer such benefits!
Na hata kama Producer aka-amend mkataba na kuingiza yale uliyo demand bado unaweza kushindwa kuyapata kwa sababu mfumo haupo rafiki kukuwezesha kupata ukweli wa hizo Stahiki!
Tuchukulie suala la Bonus kwa mfano! Bonus ni moja ya Stahiki ambazo msanii anatakiwa kupata!
Wenzetu Bonus inakuwa offered baada ya ku-hit kiwango fulani cha mauzo! Hivi Bongo Movies unaweza kupata revenue halisi?!
Binafsi nimeshawahi ku-submit takribani mara 3 (bila mafanikio) kazi zangu kwenye advanced film industry...
Huko nako ukipeleka kazi unakutana na mkataba upo tayari and so, you either take it or pass unless kama wewe ni pro.
Lakini kwavile mfumo wenyewe tayari upo advanced; mkataba nao unakuta umeweka karibu Stahiki zote za msingi. Hata kama una-hire Entertainment Lawyer; kazi yake itakuwa ndogo tu... sana sana kuhakikisha ikiwa vipengele vyote vya mkataba ni rafiki. Kazi itakuwa ndogo kwa sababu stahiki zote muhimu zitakuwepo na kama kuna ku-negotiate labda ku-negotiate structure ya hizo stahiki!
Screenwriter kwa mfano! Kwa Hollywood kuna structure kuu mbili za compensation structure... ya kwanza ni percentage production cost na ya pili ni fixed price. So, kutokana na experience ya Entertainment Lawyer wako, anaweza kukushauri compensation structure tofauti na ile uliyopewa kwenye mkataba.
Ila tukumbuke mfumo pia utategemea hali ya uchumi.Sio Majuto tu, wabadilishe mfumo kiujumla, otherwise kuna kina MAJUTO kibao wanakuja