Mikataba ya ulinzi yawekwa kati ya Marekani na Qatar

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa Marekani na Qatar.

Qatar itanunua ndege nane zisizo na rubani za MQ-9B Reaper kwa karibu dola bilioni 2 na mfumo wa kukabiliana na drone wa Raytheon wa dola bilioni 1. Mikataba hiyo, ambayo tayari imeidhinishwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, huongeza ulinzi wa kikanda na kusaidia sekta ya ulinzi ya Marekani.

Aidha, Qatar Airways itanunua hadi ndege 210 za Boeing kwa mkataba wa dola bilioni 96, sehemu ya ushirikiano wa kiuchumi wa $1.2 trilioni. Trump alisema, "Tunapendana," akisherehekea muungano wa karibu.

IMG_2862.jpeg
 
Huku kwa wajinga ndio watu wanasumbuka na udini wakati huko kwa hao watu wenyewe wanajua ni tamaduni tu hizo na wala hamna cha dini.

Lengo la Trump ni kuinua uchumi wa nchi yake na ndio maana anamleta dikteta Putin karibu kwa sababu anafahamu Russia kuna rasilimali na fursa kibau za kibiashara.

Sisi huku kwetu Samia yuko busy na akina Tundu Lissu lakini tusione ajabu ndiko akili zetu zilipofikia.
 
Good
 
Hawa waislam ni wajinga sana

Waislam wenzao wanakufa masikin wao hela wanachizea tu
Hao nani kakuambia Waislam? Muislam hawezi kumuogopa USA hata siku moja hao ni mapuppets wao. Usingize uislam kwa watu wako mbali na uislam. Muislam hawezi kumkaribisha mtu kama Trump anaye husika kuwauwa watu wa Gaza kwa kuwapa silaha Israel.
 
Hizo MQ -Reaper drone si ndiyo kila siku Houthis wanaziangusha kama utongwa?Hazina kazi hizo zaidi ya mbwembwe tu.
 
Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa Marekani na Qatar.

Qatar itanunua ndege nane zisizo na rubani za MQ-9B Reaper kwa karibu dola bilioni 2 na mfumo wa kukabiliana na drone wa Raytheon wa dola bilioni 1. Mikataba hiyo, ambayo tayari imeidhinishwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, huongeza ulinzi wa kikanda na kusaidia sekta ya ulinzi ya Marekani.

Aidha, Qatar Airways itanunua hadi ndege 210 za Boeing kwa mkataba wa dola bilioni 96, sehemu ya ushirikiano wa kiuchumi wa $1.2 trilioni. Trump alisema, "Tunapendana," akisherehekea muungano wa karibu.

View attachment 3333977
Hizo MQ -Reaper drone si ndiyo kila siku Houthis wanaziangusha kama utongwa?Hazina kazi hizo zaidi ya mbwembwe tu.
Waarabu hawanaakili ni kama usa anaenda kukamua ngombe wake . Wakati mashirika mengi yanapambana na kuachana boeng wao wanaenda kutapanya hela kule nadhani kwa hiyo tenda watalifufua hilo shirika lililoanza kupotea
 
Back
Top Bottom