Wamebaki kupiga porojo kwa majuha tu huku waangalizi wa kaburi la Mtume wakiingia mikataba ya mabilioni ya dola!Akina mwaipopo mnaitwa huku kwenye mjadala wa dini maana hii ishu Kwa Imani yetu haramu
GoodHuku kwa wajinga ndio watu wanasumbuka na udini wakati huko kwa hao watu wenyewe wanajua ni tamaduni tu hizo na wala hamna cha dini.
Lengo la Trump ni kuinua uchumi wa nchi yake na ndio maana anamleta dikteta Putin karibu kwa sababu anafahamu Russia kuna rasilimali na fursa kibau za kibiashara.
Sisi huku kwetu Samia yuko busy na akina Tundu Lissu lakini tusione ajabu ndiko akili zetu zilipofikia.
Hao nani kakuambia Waislam? Muislam hawezi kumuogopa USA hata siku moja hao ni mapuppets wao. Usingize uislam kwa watu wako mbali na uislam. Muislam hawezi kumkaribisha mtu kama Trump anaye husika kuwauwa watu wa Gaza kwa kuwapa silaha Israel.Hawa waislam ni wajinga sana
Waislam wenzao wanakufa masikin wao hela wanachizea tu
Nonsense.Hao nani kakuambia Waislam? Muislam hawezi kumuogopa USA hata siku moja hao ni mapuppets wao. Usingize uislam kwa watu wako mbali na uislam. Muislam hawezi kumkaribisha mtu kama Trump anaye husika kuwauwa watu wa Gaza kwa kuwapa silaha Israel.
Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa Marekani na Qatar.
Qatar itanunua ndege nane zisizo na rubani za MQ-9B Reaper kwa karibu dola bilioni 2 na mfumo wa kukabiliana na drone wa Raytheon wa dola bilioni 1. Mikataba hiyo, ambayo tayari imeidhinishwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, huongeza ulinzi wa kikanda na kusaidia sekta ya ulinzi ya Marekani.
Aidha, Qatar Airways itanunua hadi ndege 210 za Boeing kwa mkataba wa dola bilioni 96, sehemu ya ushirikiano wa kiuchumi wa $1.2 trilioni. Trump alisema, "Tunapendana," akisherehekea muungano wa karibu.
View attachment 3333977
Waarabu hawanaakili ni kama usa anaenda kukamua ngombe wake . Wakati mashirika mengi yanapambana na kuachana boeng wao wanaenda kutapanya hela kule nadhani kwa hiyo tenda watalifufua hilo shirika lililoanza kupoteaHizo MQ -Reaper drone si ndiyo kila siku Houthis wanaziangusha kama utongwa?Hazina kazi hizo zaidi ya mbwembwe tu.
Dunia rangi rangile wacha hii imagine Trump kukutana na rais wa Syria mtu ambae wao wenyewe wanamtambua kama gaidi walienda mbali zaidi mpk kuweka dau la kukamatwa kwake ila ya leo yannfurahishaInakuaje wananunua mifumo kwa makafir??
π π π π π πInakuaje wananunua mifumo kwa makafir??
Entitlement mentantilty sio kazi ya mtu mwingine kuwalishaHawa waislam ni wajinga sana
Waislam wenzao wanakufa masikin wao hela wanachizea tu