Mikataba ya ulinzi yawekwa kati ya Marekani na Qatar



Waziri wa Ulinzi ana tatoo inasomeka "Kafir" ila ametinga Saudi Arabia, na mitaa yote ya Mudi

 
Kafiri yeye dunia ndio pepo yake dogo akisha shushwa kaburini ndio anagundua ukafiri wake hamsaidii kitu na Uislam ndio njia ya kwenda peponi.
 
Msenge tu huyo ana hongwa mpaa ndege afu anajidai eti USA super power kuna dharau kama hio Qatar kumdhalilisha. Trump ananuliwa kwa pesa dogo ndio mana yupo uarabuni kenda kinga bakuli anaomba pesa pesa 😆 😂
 
Hapo mbona ni kama USA anaingizwa mkenge, nchi ambayo Hamasi na Iran ndio nyumbani wanafanya vikao mda wanaotaka, wanaingia na kutoka USA ndio wanaenda kuwauzia silaha ambazo ni fetal kwenye medani, uwezekano wa kuzisoma na kujua mbinu za kuzizuia ni mkubwa. Anyway inawezekana Kuna mmoja anaingia kingi kati Yao, USA sio wajinga..
 
USA akitoa majeshi, Saudia, Qatar, UAE, Jordan, Kuwait, Bahrain na Oman

Hizo nchi zote zinageuka kuwa Syria na Yemen.
 
Kwani lazima aende kaburini??
Kuna kitu kimoja lazima ukifahamu ufe kwenye ndege au umezamaa kwenye maji ukisha kufa Nafsi ndio inakufa haijalishi umekufa vipi, iwe kwa kuangushwa chini au kwa kuzama au kwa kutupwa motoni, au kuliwa na wanyama wa porini au ndege. Lazima utapata kile kile alicho kipanga mtu akiwa kaburini.
 
Bado hujajibu swali bwana mdogo
 
Bado hujajibu swali bwana mdogo
Nimeisha kujibu swali dogo kama huelewi ni wewe tu, ufe popote wewe utajikuta upo kaburini huwezi kushindana na Mungu. Kwa hio we akili yako aliye liwa na simba haendi motoni au peponi sio hahahaha
 
Wenzetu Rais wao akifanya ziara ni anaenda kusaini mikataba yenye tija,haya ya kwetu africa yenyewe yakifanya ziara ni kwenda kupiga picha tu
 
Nimeisha kujibu swali dogo kama huelewi ni wewe tu, ufe popote wewe utajikuta upo kaburini huwezi kushindana na Mungu. Kwa hio we akili yako aliye liwa na simba haendi motoni au peponi sio hahahaha
jifunze kujibu swali.. hayo mengine yote sijakuuliza..............'""""Kaburi ni mahali pa kulaza maiti ya binadamu au mabaki yake""""""
 
jifunze kujibu swali.. hayo mengine yote sijakuuliza..............'""""Kaburi ni mahali pa kulaza maiti ya binadamu au mabaki yake""""""
Kaburi ni mwanzo ya nyumba ya milele linaweza iwe shimo la moto au shimo la peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…