Mikataba ya WCB

Mikataba ya WCB

Drc congo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
636
Reaction score
2,896
Ameandika Romantic Aloyce.

"Daimond aache kulialia, yeye mwenyewe alisaidiwa ila alipoona amekuwa akaachana na waliomsaodia tena kwa kuwasema vibaya mfano Ruge Mutahaba.

Diamond anasaidia wasanii ila hata yeye anapata faida kupitia hao wasanii hivyo huwa wanasaidiana.

Msanii ukishamsaidia ukiona anajiweza anataka kuondoka mruhusu sio kung'ang'ania abaki kwako. Kunjua roho msanii aondoke hakuna mtu anayependa kuwa chini ya Mtu milele kuwa chini ya mtu kunakoseha Uhuru unakuwa kama Mfungwa.

Diamond aache kulalamika lalamika Wasanii wanvyoondoka kwake huwa anawalipisha faini sasa analalamika nini? Msanii anataka kuondoka umemwambie akulipe amekulipa lkn bado unalalamika!!!!

Tatizo la Diamond anajiona kama Mungu wa Muziki TZ anapenda ukiondoka kwake basi upotee katika ramani usipopotea ndio chuki zinaanza.

Kwanza anawasainisha mikataba mirefu sana, mikataba yake ni kuanzia miaka 10. Huu ni mkataba wa kiunyonyaji mno.

Aige Mfano wa Don Jazzy wa Marvin Records, amesaidia wasanii wengi sana na wengi wameshaondoka na bado anaendelea kusaidia wengine. Miakataba yake anasainisha Miaka Miwili mpaka mitatu, Mkataba ukiisha mnakaa mezani kama unaongeza au huongezi.

Waote akina Korede Bello, Tiwa Savage, Reekado Banks walishamaliza Mikataba yao wakamua kuondoka ili kuwapa nafasi wengine wasainiwe.

Mkataba wa Rema uliisha 2021 akaongeza wa miaka miwili, Crayon, Ayra Star wana mikataba ya miaka mitatu, Ladi Poe miaka miwili miakataba ikiisha wataongeza au watamove. Mikataba ya Marvin ni kama ya Wachezaji mikataba ni Rafiki sana.

Mikataba ya Diamond na WCB yake ni mikataba ya hovyo na inachosha, Mkataba miaka 10????? Yaani wanataka mpaka uzeekee kwao "

FB_IMG_16602491873140795.jpg
 
WCB ndio bongofleva ndio maana watu hawakumbuki kuna lebo nyingine.

Chuki na wivu ndio vinafanya watu waisakame WCB wala sio kutaka haki au fairness ndio maana hawazigusi sehemu zengine.
 
Diamond anaiga uongozi kwenye katiba ya ccm,
 
Wapi amelialia mi sijaona? Mkataba ni mkataba uwe wa miaka miwili au mitano.... Wao WCB wameona uwezo wao wakumsupport msanii mpaka amachuwe na alete return ni miaka 10 kwann itake iwe kama Marvin's wanavofanya...sidhani kama WCB wa nashida msanii kuondoka, shida Yao msanii atimize vipengele vya mkataba..mimi sio shabiki Sana wa mziki ila nawapongeza WCB kidgo wame fanya mziki wa tanzania uendeshwe kibiashara zaidi, wasanii wazamani wameishia kuwa maskini kwasabab hawakufanya mziki kama serious bussines...
 
Miaka 10 sio mingi kwa mazingira ya Tanzania. Fikiria umtoe mtu Chitoholi hajui kitu zaidi ya kipaji chake tu. Uanze kumfundisha lugha na mambo mengine yanayohusiana na kipaji chake lazima miaka miwili iishe ghafla. Kuanzia mwaka wa 3 ndo angalau biashara itaanza kuchanganya. Sasa kama Diamond aliwekeza pesa nyingi itachukua miaka mingine kurudisha pesa yake ikiwa na faida. Kimsingi kama kijana anataka kuvunja mkataba alipe hela aende.
 
Ameandika Romantic Aloyce.

"Daimond aache kulialia, yeye mwenyewe alisaidiwa ila alipoona amekuwa akaachana na waliomsaodia tena kwa kuwasema vibaya mfano Ruge Mutahaba.

Diamond anasaidia wasanii ila hata yeye anapata faida kupitia hao wasanii hivyo huwa wanasaidiana.

Msanii ukishamsaidia ukiona anajiweza anataka kuondoka mruhusu sio kung'ang'ania abaki kwako. Kunjua roho msanii aondoke hakuna mtu anayependa kuwa chini ya Mtu milele kuwa chini ya mtu kunakoseha Uhuru unakuwa kama Mfungwa.

Diamond aache kulalamika lalamika Wasanii wanvyoondoka kwake huwa anawalipisha faini sasa analalamika nini? Msanii anataka kuondoka umemwambie akulipe amekulipa lkn bado unalalamika!!!!

Tatizo la Diamond anajiona kama Mungu wa Muziki TZ anapenda ukiondoka kwake basi upotee katika ramani usipopotea ndio chuki zinaanza.

Kwanza anawasainisha mikataba mirefu sana, mikataba yake ni kuanzia miaka 10. Huu ni mkataba wa kiunyonyaji mno.

Aige Mfano wa Don Jazzy wa Marvin Records, amesaidia wasanii wengi sana na wengi wameshaondoka na bado anaendelea kusaidia wengine. Miakataba yake anasainisha Miaka Miwili mpaka mitatu, Mkataba ukiisha mnakaa mezani kama unaongeza au huongezi.

Waote akina Korede Bello, Tiwa Savage, Reekado Banks walishamaliza Mikataba yao wakamua kuondoka ili kuwapa nafasi wengine wasainiwe.

Mkataba wa Rema uliisha 2021 akaongeza wa miaka miwili, Crayon, Ayra Star wana mikataba ya miaka mitatu, Ladi Poe miaka miwili miakataba ikiisha wataongeza au watamove. Mikataba ya Marvin ni kama ya Wachezaji mikataba ni Rafiki sana.

Mikataba ya Diamond na WCB yake ni mikataba ya hovyo na inachosha, Mkataba miaka 10????? Yaani wanataka mpaka uzeekee kwao "

View attachment 2321262
Mbona hamtaki kumpa maua yake Papaa Misifa, Ruge hajawahi kuwekeza hata Sumni kwa Mondi, uhusiano wao kama ulivyo sasa hivi wa Majizo na Harmonize, mmoja anaandaa tamasha ana promote then wanagawna mzigo.

Papa Misifa ndio aliyemtoa Diamond na kuweka hela yake kwa Diamond baada ya kukataliwa THT kwamba hajui kuimba na alivyo vunja mkataba akamlipa Papa Misifa mil 50.Mpeni Sifa yake Papa misifa akiwa bado Yu hai.
 
WCB ndio bongofleva ndio maana watu hawakumbuki kuna lebo nyingine.

Chuki na wivu ndio vinafanya watu waisakame WCB wala sio kutaka haki au fairness ndio maana hawazigusi sehemu zengine.
Halafu waulize wao wana nini..[emoji23]
 
Agiza ya baridi sana mpaka inatoa jasho
Wewe siwezi kukusahau uliwahi toa uzi mrefuuuuuu humu kudai konde atapotea kujitoa wcb ila leo sijui unapatwa na hali gani ukiona kijana yule anazidi kupaa tu.....
 
Rayvanny wewe ndio mtu aliyekua na kipaji pale Wasafi, huo ndio ukweli wenyewe..wengine wote wamebebwa na lebo na creativity ila kwa kuimba hakuna kama wewe pale. Lipa and move on,utazirudisha hizo hela japokua ni nyingi na zianauma. Ukishindwa ku move on utafocus energy yako kwenye huu ujinga then uta stuck kwenye mambo yako mengine,fanya kama ulijikwaa then sahau.
 
Back
Top Bottom