Drc congo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 636
- 2,896
Ameandika Romantic Aloyce.
"Daimond aache kulialia, yeye mwenyewe alisaidiwa ila alipoona amekuwa akaachana na waliomsaodia tena kwa kuwasema vibaya mfano Ruge Mutahaba.
Diamond anasaidia wasanii ila hata yeye anapata faida kupitia hao wasanii hivyo huwa wanasaidiana.
Msanii ukishamsaidia ukiona anajiweza anataka kuondoka mruhusu sio kung'ang'ania abaki kwako. Kunjua roho msanii aondoke hakuna mtu anayependa kuwa chini ya Mtu milele kuwa chini ya mtu kunakoseha Uhuru unakuwa kama Mfungwa.
Diamond aache kulalamika lalamika Wasanii wanvyoondoka kwake huwa anawalipisha faini sasa analalamika nini? Msanii anataka kuondoka umemwambie akulipe amekulipa lkn bado unalalamika!!!!
Tatizo la Diamond anajiona kama Mungu wa Muziki TZ anapenda ukiondoka kwake basi upotee katika ramani usipopotea ndio chuki zinaanza.
Kwanza anawasainisha mikataba mirefu sana, mikataba yake ni kuanzia miaka 10. Huu ni mkataba wa kiunyonyaji mno.
Aige Mfano wa Don Jazzy wa Marvin Records, amesaidia wasanii wengi sana na wengi wameshaondoka na bado anaendelea kusaidia wengine. Miakataba yake anasainisha Miaka Miwili mpaka mitatu, Mkataba ukiisha mnakaa mezani kama unaongeza au huongezi.
Waote akina Korede Bello, Tiwa Savage, Reekado Banks walishamaliza Mikataba yao wakamua kuondoka ili kuwapa nafasi wengine wasainiwe.
Mkataba wa Rema uliisha 2021 akaongeza wa miaka miwili, Crayon, Ayra Star wana mikataba ya miaka mitatu, Ladi Poe miaka miwili miakataba ikiisha wataongeza au watamove. Mikataba ya Marvin ni kama ya Wachezaji mikataba ni Rafiki sana.
Mikataba ya Diamond na WCB yake ni mikataba ya hovyo na inachosha, Mkataba miaka 10????? Yaani wanataka mpaka uzeekee kwao "