Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa?
Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya!
Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani amefungua kesi lini, anakuja kushinda kesi na kulipwa mibilioni leo! Inashangaza kidogo!
Hii sasa itufanye kuwa macho basi kwenye mikataba yote inayoingiwa na serikali yetu, matumbo yawe nyuma, masilahi ya nchi mbele! Mfano wa mkataba ambao tunapaswa kuwa macho sana, ni huu wa bandari zetu na kampuni ya DP world, tusipokuwa makini, huu ndo utakuja kutugharimu hatutosahau!
Hivi ni Kwa nini kesi hizi hazikuwa zinaamriwa kipindi mvunja mikataba yupo? 2018 hadi 2021? Hapa pana kitu si bule!
Tulisikia sauti ya JPM kipindi hiko akisema, Tanzania haijawahi kushinda kesi za kiusuluhishi hata zile zinazoelekea kushinda!
Ni kwa sababu wanasheria wetu wengi hupewa hongo huko na ama hawalipwi vizuri na serikali yao!
Mashaka ya wengi ingawa hayawezi kuthibitishwa, JPM aliondoka na mengi!
Bado tunatkiwa kuwa JPM tena hii nchi mwenye ukichaa na ukweli wa kiutanzania kichwani,
Kuna mikataba mingi ya kipumbavu hii inchi inapaswa kuvunja bila hata kuangalia gharama,
Inawezekanaje kwenye madini kulipwa 2% tu ya madini yote na kampuni kubwa kama barik?
Huu si ni upunguani?