sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kupitia ukurasa wake wa twitter mmoja wa wana hisa wa Jamii Media, Mike Mushi ameandika maneno mazito kwenye issue ya Diamond na Hamisa. Mike alikuwa akijibu habari iliyoandikwa na mtandao wa Bongo 5 ikisema "Kumbe Hamisa na Diamond walishaonywa mapema."
Namnukuu
"Sasa Jamani mbona tunamfanya kama Hamisa ndio adui au mtu mbaya hapa.
Mbona inatumika nguvu kubwa sana kumuonyesha yeye ndio mtu mbaya na mkosaji?
Kumchafua na kumshusha Hamisa hakumfanyi diamond msafi au Kumpandisha.
Mwisho wa Kunukuu.
Katika habari hiyo ya Bongo 5, Babu Tale ambaye ni Meneja wa msanii Diamond Platnumz anaonekana kumlaumu Hamisa kwa kutembea na kuzaa na Diamond na kupelekea kuharibu uhusiano wa Diamond na mzazi mwenzie, Bi. Zarina.
“Kabla Hamisa hajapata ujauzito, tulikuwa tuna-shoot video ya Salome nikamwambia Zari sio adui yako, kama una mapenzi na Diamond mpende ila kama unataka kumkomesha, kamkomeshe Lulu, ila kama unataka kufanya hivyo haipendezi,” amesema Tale.
“Nikamwambia pia Diamond kama unafanya ujana, inatakiwa pia uangalie ujana wako yule demu (Zari) amekuja huko from nowhere amekuzalia mtoto pia,” Tale aliongezea.