Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

Na malipo wanayoyapokea hawakutegemea [emoji23][emoji23][emoji23]walidhan puchi tamu itahongwa nyumba zaidi ya zari badala yake kapewa hisani tu gorofan kachumba kamoja
Ameze tu hakuna namna kwani si wapo walioachwa na mond waunde team yao
 
Hivi hamisa ndo nan wakuu .. Naomba mnieleweshe .. Huyu zari namjua ... So ndo yule wa zari LA mentali au mnamwongelea yupi .. Nipo gizan wakuu !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasahau kwamba zari anajitafutia mkate wake wa kila siku mwenyewe. Baba hajaona watoto wake miezi mitano na hajaombwa child support.
Good, ndiyo nawengine wajifunze kuokoteza hovyo hovyo
 
pole Hamisa,kuanguka ni kujifunza,inasikitisha wanaomtukana wengi ni wanawake,mmmnh sad,nakushauri achana na social media fanya mambo yako privately,usiingie insta kama miezi mitatu mapoyoyo wanaokutukana watakua washampata mwingine wa kumtukana….wewe ni msichana mdogo sana,usikate tamaa….wa kwako yupo...believe it...
Lavyuu mamii unaonekana una hekima sana
 
Zari ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] usipoota utapikia. Bwana kajirudisha na zawadi juu acha bibie atishie kujiua
Aliingia vibaya alijua anavuruga kumbe anavurugwa
 
Yan hamisa hata mm zamani mpaka anajifungua fancy nilikua nampendaga.
Ila alivyokuja kuingia kwenye mahusiano na bwana wa mtu na kutaka kumkomoa mwanamke mwenzie haki kanikera sana. Aendelee kupokea malipo ya kazi yake.
Mie mvuruga maisha ya watu na starehe zao hapana yeye abembee tu na maisha yake ya udangaji
 
Wale wote wanamtegemea dai kwa kila kitu hivyo wanamcontrol ili wasikatishiwe ulaji

Hamisa akili hana alitakiwa kula kimya kimya no vijembe wala nini,mwisho wa siku tungeshtukia anamiliki mjengo wake wa maana,biashara ya kueleweka. Ila ndo hivyo tena akataka awafaidishe akina nikomesheeee
Mchuma ujinga hula na wakwao
 
Diamond anawajulia sana watu wake yaani anawazoa anaamua akawamwage wapi alafu kesho anaenda kuwazoa tena anawatupa sehemu nyingine na watu wake hawana shida.
Fuatilia yote yanayoendelea ila hakuna sehemu utasikia Diamond amekosea utaona wanalaumiwa wanawake tu tena wanaongoza lawama ni wanawake wenzao hapo ndipo naishia kucheka na kuna mibaba jasho linawatoka uko IG kisa Diamond na wanawake zake duh hakika kama misukule uyu kijana anayo mingi namshauri aanzishe na yeye kundi lake la FOREX mbona itakua kama chuo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ya bahari inavyotema takataka
 
Weeeee wambongo wa insta kwenye umbea kipaumbele ili kutuliza makali ya maisha ila wagusie hela watakukimbia unakumbuka wema sepetu na timu yake na lipstic zimemdodea mpaka wa leo ingawa ukijaribu kumsema wema watakuvamia kama mvua ya mawe ujute
Utazani mashabiki wa nyuki wakikimbilia huku sauti huku wakienda kule sauti kule[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Jamii na maadili yetu yanapotea sana. Kinacho mtokea Hamisa hapa ni kwamba ni fundisho kwa wanawake wote. Ukiona mwanaume ana mwanamke wake ambae anatambulika na huyo mwanaume ana mtambulisha huyo mwanamke wake kama mwenza wake, hata kama hawajafunga ndoa lakini amemtambulisha, wamezaa na wanashirikiana mambo yoote kama bwana na bibi, na wewe unamfahamu huyo mwanamke wake na una urafiki nae, usikae ujiingize kwenye mahusiano na mwanaume huyo, then umzalie mtoto, then uanze vijembe na kumkebehi huyo mwanamke wake. Karma will always find you. Let the man end his relationship na mwanamke wake then aje kwako. Halafu mwanaume anayejua umemkubali na unajua ana mwanamke wake kamwe hatokuheshimu.

Kingine kikubwa, jamani kuna magonjwaaa. Unalala vipi na mwanaume bila kinga na unajua analala na mwanamke wake bila kinga too?
You said it all
 
Ee binti kajigeuza incubator
Yeye alitakiwa kula kimya kimya kwanini aote mabawa, mie nilikuwa hata siyajui nilisafiri huko kuna team mpaka mikoani Zari & Hamisa mmmmm nilichoka
 
Haya naona anaombewa michango eti ana hali mbaya kiuchumi aiseee ina maana tambo zote zile hakua anapewa pesa ya kutosha na dai
Yeye alitakiwa kula kimya kimya kwanini aote mabawa, mie nilikuwa hata siyajui nilisafiri huko kuna team mpaka mikoani Zari & Hamisa mmmmm nilichoka
 
Back
Top Bottom