Mike Mushi: Kumshusha Hamisa hakumpandishi Diamond

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kupitia ukurasa wake wa twitter mmoja wa wana hisa wa Jamii Media, Mike Mushi ameandika maneno mazito kwenye issue ya Diamond na Hamisa. Mike alikuwa akijibu habari iliyoandikwa na mtandao wa Bongo 5 ikisema "Kumbe Hamisa na Diamond walishaonywa mapema."

Namnukuu
"Sasa Jamani mbona tunamfanya kama Hamisa ndio adui au mtu mbaya hapa.

Mbona inatumika nguvu kubwa sana kumuonyesha yeye ndio mtu mbaya na mkosaji?

Kumchafua na kumshusha Hamisa hakumfanyi diamond msafi au Kumpandisha.

Mwisho wa Kunukuu.

Katika habari hiyo ya Bongo 5, Babu Tale ambaye ni Meneja wa msanii Diamond Platnumz anaonekana kumlaumu Hamisa kwa kutembea na kuzaa na Diamond na kupelekea kuharibu uhusiano wa Diamond na mzazi mwenzie, Bi. Zarina.

“Kabla Hamisa hajapata ujauzito, tulikuwa tuna-shoot video ya Salome nikamwambia Zari sio adui yako, kama una mapenzi na Diamond mpende ila kama unataka kumkomesha, kamkomeshe Lulu, ila kama unataka kufanya hivyo haipendezi,” amesema Tale.

“Nikamwambia pia Diamond kama unafanya ujana, inatakiwa pia uangalie ujana wako yule demu (Zari) amekuja huko from nowhere amekuzalia mtoto pia,” Tale aliongezea.

 
Jamii na maadili yetu yanapotea sana. Kinacho mtokea Hamisa hapa ni kwamba ni fundisho kwa wanawake wote.

Ukiona mwanaume ana mwanamke wake ambae anatambulika na huyo mwanaume ana mtambulisha huyo mwanamke wake kama mwenza wake, hata kama hawajafunga ndoa lakini amemtambulisha, wamezaa na wanashirikiana mambo yoote kama bwana na bibi, na wewe unamfahamu huyo mwanamke wake na una urafiki nae, usikae ujiingize kwenye mahusiano na mwanaume huyo, then umzalie mtoto, then uanze vijembe na kumkebehi huyo mwanamke wake.

Karma will always find you. Let the man end his relationship na mwanamke wake then aje kwako. Halafu mwanaume anayejua umemkubali na unajua ana mwanamke wake kamwe hatokuheshimu.

Kingine kikubwa, jamani kuna magonjwaaa. Unalala vipi na mwanaume bila kinga na unajua analala na mwanamke wake bila kinga too?
 
Yeye ilipaswa amchune mondi kimya kimya
 
Mimi na waonaga wehu Tu "" Hakuna hata Mwenye Nafuu hapo ""... Wote wanatabia chafu Manzese Uwanja wa Fisi ".... mwanaume " UMALAYA KWAKE FAHARI "" MWANAMKE ..nitom......nikale " basi tafarani"... sijawahi kuwaelewa watu "" wanao ona NGONO kama Sifa njema " kwao ""......
 
Wanaomtetea wanashangaza sana maana mtu mwenyewe alijipeleka kajitegesha mimba na tambo kibao,kashfa tele. Saiv yanamtokea pabaya anaanza tafuta huruma za watu pyeeeeee

Mahusiano yoyote yaheshimiwe kabla ya kuvamiwa ovyo eti kisa watu wanasema hao wapendanao hawaendan na bla bla kibao

Eti pussy so hot hahaha aiseee
Yani hamisa yamemrudia saiv anajitilisha huruma.
Mwana kulitaka mwana kulipata ndio haya.

Kama alivyosema binti wa moyo hapo juu, ni funzo kwa wanawake wote wapenda wanaume za watu.
 
umepiga mule mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…