Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nini kinafuata?
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha mambo yako wewe..... muongo huwa,hapaswi kuaminiwa,hata pale anaposema kweli.... hata kama ni kweli china ndio waliotengeneza chaajabu nini hapo..wao USA wameua watu wangapi kwaajili ya kusolve maslahi yao ya kiuchumi.... hapo wameshawahiwa na mchina watulie tu hii ndio imeshakula,kwaoUsichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo
imagine !We cheat
We lie
Alisikika jamaa mmoja akielezea mbinu walizokua wakitumia CIA wakati yeye akiwa kama MKUU washirika hilo Sasa hivi mtu kama huyu tutamuamini vipi tena yakwamba hawatumii tena njia zakudanganya kama walizokua wanazitumia wakati yeye akiwa Kiongozi MKUU wa CIA
Magaidi wa US wala sio wakuwaamini hata kidogo kwanza wauaji wakubwa hawa wapuuzi.....
Sent using My COVID-19
nkitulia mkuu nta andika maoni yangu.....Trust China Then.
Hamna nchi yenye Compassion na Equality kama US Haipo hapa Duniani. Ni nchi pekee ambayo despite kuwa na majority ya whites lakini they had a Black President Tena Twice. You will never hear that from China, Germany, Japan or any other developed nation.
Leo wewe Bwana Utam ukikamatwa na wanajeshi wa kimarekani treatment utakayopata ni totally different utakayopata from Chinese soldiers. Chinese watakuua on the spot. Americans Kuna procedures watafuata. They are Systematic. Ndo mana unasikia Kuna Cases za wanajeshi wa kimarekani kuua Civilians in foreign nations.
CIA kinachowaponza wako transparent Sana, wana release taarifa zao ndo maana unaona they are so evil. Sadly nyingine siyo kweli ni consiparancy theories tu. Nikikuuliza apo shirika La kijasusi la kichina hulijui hata jina lake, ila Wana madudu na maovu makubwa kuliko hata CIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana wamerikani walikuwa wanafadhili taaisis ya mambo ya genetics huko Wuhan na pia wanasayansi wakimarekani walikuwa wanashiriki. Hivi sasa kuna uchunguzi wa kimya kimya unafanyika kuhusu hilo marekani.
Trust China Then.
Hamna nchi yenye Compassion na Equality kama US Haipo hapa Duniani. Ni nchi pekee ambayo despite kuwa na majority ya whites lakini they had a Black President Tena Twice. You will never hear that from China, Germany, Japan or any other developed nation.
Leo wewe Bwana Utam ukikamatwa na wanajeshi wa kimarekani treatment utakayopata ni totally different utakayopata from Chinese soldiers. Chinese watakuua on the spot. Americans Kuna procedures watafuata. They are Systematic. Ndo mana unasikia Kuna Cases za wanajeshi wa kimarekani kuua Civilians in foreign nations.
CIA kinachowaponza wako transparent Sana, wana release taarifa zao ndo maana unaona they are so evil. Sadly nyingine siyo kweli ni consiparancy theories tu. Nikikuuliza apo shirika La kijasusi la kichina hulijui hata jina lake, ila Wana madudu na maovu makubwa kuliko hata CIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya propaganda??Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China
Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema Wataalamu wanaamini kuwa Corona imetengenezwa hivyo hana sababu ya kuamini vinginevyo. Hata hivyo, hakutoa ushahidi wowote wa kudhibitisha madai hayo
Alipoulizwa kama anafikiri Virusi vya Corona vilisambazwa makusudi au kama ilitokea bahati mbaya kwenye maabara, Pompeo alisema hawezi kujibu swali hilo kwasababu China imekataa kutoa ushirikiano kwa wataalamu wa afya
======
View attachment 1439341
Secretary of State Mike Pompeo said there are "enormous" signs that the novel coronavirus outbreak originated a biomedical laboratory in Wuhan, China -- the city where cases first exploded.
"I can tell you that there is a significant amount of evidence that this came from that laboratory in Wuhan," Pompeo said on ABC’s "This Week" Sunday.
"Do you think they intentionally released that virus, or it was an accident in the lab?" Co-Anchor Martha Raddatz pressed."I can't answer your question about that," he said, "because the Chinese Communist Party has refused to cooperate with world health experts."
The White House last week ordered U.S. intelligence agencies to look into whether China concealed information early on about the novel coronavirus, two administration officials told ABC News last week.
Pompeo on Sunday agreed the virus was not manmade.
A recent press release from the Office of the Director of National Intelligence (ODNI) that said, "The Intelligence Community also concurs with the wide scientific consensus that the COVID-19 virus was not manmade or genetically modified."
Pompeo said that he has "no reason to disbelieve" the intelligence community, adding, "I've seen their analysis. I've seen the summary that you saw that was released publicly. I have no reason to doubt that that is accurate."
The ODNI statement said the intelligence community was investigating whether the outbreak was the result of a lab accident.
The announcement that the ODNI is investigating a possible lab accident as the source of the pandemic is a boost for the unproven theory that President Donald Trump, Pompeo and many senior U.S. officials have pushed for weeks now, even as epidemiological experts say its likelihood is rare.
Several public health and epidemiological experts have told ABC News it is "vastly more likely" that the first infection -- what's called "zoonotic spillover" -- occurred in the wild, given the "huge barriers between people and viruses in the laboratory setting," according to Dr. Christine Johnson, director of the U.S. Agency for International Development's Predict project and a professor at UC Davis School of Veterinary Medicine.
Pompeo has been central to the administration’s pushback against the Chinese government for weeks, earning him vitriol from Chinese state media, which called him an "enemy of mankind" last week.
"China behaved like authoritarian regimes do, attempted to conceal and hide and confuse," Pompeo said.
Xinhua, China's state-run news, reported late Saturday that there are neither rational nor legal grounds for U.S. politicians' accusations regarding China's response, "it is only an absurd claim featuring typical U.S. bullying."
"Like the rest of the world, China is a victim of the pandemic, not an accomplice with the virus," the report said.
China said they have done what "should be and needs to be done" in the face of a pandemic.
A report from the Department of Homeland Security claims that "the Chinese government intentionally concealed the severity of COVID-19 from the international community in early January while it stockpiled medical supplies by both increasing imports and decreasing exports."
"China likely cut its exports of medical supplies prior to its January WHO notification that COVID-19 is a contagion," according to the report, whichwas shared with law enforcement and government agencies on Friday.
Source: ABC News
😆 😆 😆Pompeo Shushushu mbobezi, anayezisoma usiku na mchana nyuzi za Habibu B. Anga na kuzitanyia kazi
paula unabadili mada ujueHawa ndiyo walitaka kumuua Tundu Lissu?
Au unamaanisha nini?
Hata huu uliofanyika ni uchunguzi, au we unataka uchunguzi wa namna gan?Inasemekana wamerikani walikuwa wanafadhili taaisis ya mambo ya genetics huko Wuhan na pia wanasayansi wakimarekani walikuwa wanashiriki. Hivi sasa kuna uchunguzi wa kimya kimya unafanyika kuhusu hilo marekani.
Uchunguzi huu ninaousema ni kuwa serikali ya rais obama ilivunja sheria kuhusu suala hilo.Hata huu uliofanyika ni uchunguzi, au we unataka uchunguzi wa namna gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan anafanya uchunguzi huo?Uchunguzi huu ninaousema ni kuwa serikali ya rais obama ilivunja sheria kuhusu suala hilo.
nkitulia mkuu nta andika maoni yangu.....
Sent using My COVID-19
Hili suala lakua US washawahi kua narais ama marais wasio WEUPE silikatai ila kwanza unatakiwa uangalie weusi hao unao wasemea wachache japokua sio wachache kama unavyowasemea waliopo US niraia kamili kabisa wa US Nahata hvyo US kuna watu weusi wengi mnoooo kama ndio unakitumia kama kigezo chakutaka nawatu weusi waliopo UCHINA kupewa nyadhifa za URAIS baada ya hapo unatakiwa uangalie UCHINA toka kupata UHURU toka kwa JAPAN mpaka ss washakaa marais wangapi ukilinganisha na US nahuko ulipo tolea mifano watu weusi wapo ila sio kama walivyo weusiTrust China Then.
Hamna nchi yenye Compassion na Equality kama US Haipo hapa Duniani. Ni nchi pekee ambayo despite kuwa na majority ya whites lakini they had a Black President Tena Twice. You will never hear that from China, Germany, Japan or any other developed nation.
Leo wewe Bwana Utam ukikamatwa na wanajeshi wa kimarekani treatment utakayopata ni totally different utakayopata from Chinese soldiers. Chinese watakuua on the spot. Americans Kuna procedures watafuata. They are Systematic. Ndo mana unasikia Kuna Cases za wanajeshi wa kimarekani kuua Civilians in foreign nations.
CIA kinachowaponza wako transparent Sana, wana release taarifa zao ndo maana unaona they are so evil. Sadly nyingine siyo kweli ni consiparancy theories tu. Nikikuuliza apo shirika La kijasusi la kichina hulijui hata jina lake, ila Wana madudu na maovu makubwa kuliko hata CIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona polisi wa ccm hawajawakamata chadema wakati shahidi yupo mollel jama!!USA are the worst killers, Kuhusu Lissu mbunge wa Chadema Mollel alisema mpango ulisukwa Ndani ya chama
MagufuriHawa ndiyo walitaka kumuua Tundu Lissu?
Au unamaanisha nini?
Usichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo
Yes
Coronavirus has 3 strains, 2nd mutation is the one first found in Wuhan: ScientistsUsichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo