#COVID19 Mike Pompeo: Kuna Ushahidi wa kutosha kuwa Corona imetokea maabara iliyopo Wuhan

Usichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo
acha mambo yako wewe..... muongo huwa,hapaswi kuaminiwa,hata pale anaposema kweli.... hata kama ni kweli china ndio waliotengeneza chaajabu nini hapo..wao USA wameua watu wangapi kwaajili ya kusolve maslahi yao ya kiuchumi.... hapo wameshawahiwa na mchina watulie tu hii ndio imeshakula,kwao
 
imagine !
 
nkitulia mkuu nta andika maoni yangu.....

Sent using My COVID-19
 

Mtu anayefungamana na China huwa namshangaa sana, namuona hana exposure

Embu jaribu tu walau kufanya kazi na shirika la kichina then ufanye kazi na Americans, you'll learn a thing or two when it comes to who are the evils between these two beberu

Wachina ni mashetani, nadhani hata shetani kuna muda huwa anawaangalia anaogopa
 
unajua maana ya propaganda??
 
Inasemekana wamerikani walikuwa wanafadhili taaisis ya mambo ya genetics huko Wuhan na pia wanasayansi wakimarekani walikuwa wanashiriki. Hivi sasa kuna uchunguzi wa kimya kimya unafanyika kuhusu hilo marekani.
Hata huu uliofanyika ni uchunguzi, au we unataka uchunguzi wa namna gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a Hili suala lakua US washawahi kua narais ama marais wasio WEUPE silikatai ila kwanza unatakiwa uangalie weusi hao unao wasemea wachache japokua sio wachache kama unavyowasemea waliopo US niraia kamili kabisa wa US Nahata hvyo US kuna watu weusi wengi mnoooo kama ndio unakitumia kama kigezo chakutaka nawatu weusi waliopo UCHINA kupewa nyadhifa za URAIS baada ya hapo unatakiwa uangalie UCHINA toka kupata UHURU toka kwa JAPAN mpaka ss washakaa marais wangapi ukilinganisha na US nahuko ulipo tolea mifano watu weusi wapo ila sio kama walivyo weusi


Kusikia kesi za wamarekani dhidi ya Raia wakigeni tayari inatia doa sekta husika ijapokua sijapingana na ukweli wakwamba wao wana uafadhali kulinganisha na UCHINA yes US wanaweza wakawa wabaguzi ila UCHINA niwabaguzi zaidi hili halipingiki hata robo ama nusu MKUU lile gereza la guantanamo hujalisikia kashfa zake ?! Watu wanateswa watu wanapewa mateso makali sana watu wakiume wanaingiliwa na mbwa yaani wanateswa kwamaana yakuteswa kwel kwel



Hili lakuhusiana nahaya mashirika yakijasusi hili tuliache tu ila CIA wanapofeli ama walipofeli nikwamba wanafanya madudu halafu wanajisifia unahisi kwamtu anaejitambua ata waamini tena maana hata kama mengine hawaja yafanya tuseme kama unavyodai ni theorie half wakajihusisha unahisi wata tafsiriwaje ndio kama hii kasumba inayo endelea kwa sasa ya CORONA watu waelewa hawawez wakawaelewa sababu watahisi wanatumia mbinu zile zile walizozitumia dhidi ya Saddam Hussein ilimradi tu wamuondoe

Kama hili suala la CORONA hili suala nyeti sana ila rahisi sana kama kweli wamepata ama wanao ushahidi kama wanavyodai waulete tu DUNIA itambue US nnayo ifahamu mimi iwe na ushahidi juu ya kitu fulani weeee halaf wawe wanapiga domo kila siku hv haiwezekani hata kama ushahidi upo ulokamilika walete watu wamjue mbaya nani kila siku wanakuja navimaneno maneno vyao mwisho watu tutawachoka na wengine tushawachoma maana tunajua kama sio kweli hawana ushahidi kama wangekua nao wangelishautoa zamani sanaaaaa.....


Mwisho:-US nawamagharibi kwaujumla wameikatamata DUNIA kwenye nyanja ya propaganda jamaa kwenye suala la propaganda wapo vyema sana

Kama unakumbuka kashfa walizozifujisha kina edward snowden unaweza ukanielewa ama hujawah kuzipitia zile ama hujawahi kuziona ama huzijui ?!

Sent using My COVID-19
 
Usichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo
Coronavirus has 3 strains, 2nd mutation is the one first found in Wuhan: Scientists

[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www]

Muhammed Nafie, Al Arabiya EnglishTuesday 14 April 2020

The strain of coronavirus that appeared in Wuhan, the hardest-hit city in China, might have mutated from an earlier variant of the virus, according to the first genetic analysis of the virus evolution.

Researchers at Cambridge University who traced the origins of the pandemic by analyzing 160 genomes from human patients have identified three distinct strains of the deadly pathogen.

Dubbed as A, B and C, the three types have followed different paths throughout the globe, possibly because they have mutated to be more effective at infecting specific populations, researchers said.

For more coronavirus news, visit our dedicated page.

In an interview with China Global Television Network (CGTN) on Saturday, Geneticist Dr. Peter Forster, who led the research, said there was no proof that coronavirus originated in Wuhan.

The earliest known strain of the virus, termed by the scientists as "Type A", is commonly detected in the US and Australia. Type A is the ancestral strain and is most closely related to the coronavirus found in bats and pangolins.

The second type ‘B’ - which is most common in East Asia - is derived from ‘A’, and separated by two mutations, while ‘C’ is in turn a mutation of ‘B’.

Read more: Coronavirus mutates into 40 strains. How this changes the pandemic outlook: Experts

But interestingly, European nations are currently been hit largely by "Type C," which is not found in mainland China at all.

In fact, type ‘C’ is most common in Hong Kong, Singapore, and South Korea, suggesting that it has spread to Europe from those regions, the researchers said.

“Type A is the original type that would have affected humans. Then it mutated and changed into Type B. This Type B was then the first genome to be picked up in Wuhan, when the disease became apparent,” Dr. Forster said.

“Researchers might be forgiven for thinking at the time that B is the original type, but actually it’s not – it’s Type A, which in Wuhan is only a minority type, but B has become the majority type during the outbreak. That has mutated further into C. Now the C type is not found in the early phase of the outbreak in China. It is found outside, for example it is well represented in Singapore," he added

C&P....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…