Mike Sonko aongoza wakenya kumsifu Magufuli na kumkashifu Uhuru Kenyatta

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
https://www.facebook.com/Hii imetokana na kitendo cha Gavana huyo wa Nairobi, kuweka video inayomuonyesha Magufuli akichukua hatua madhubuti za kupambana na Rushwa, katika video hiyo Sonko aliandika Maneno yenye kuashiria kufurahishwa sana na uongozi wa Magufuli.

Post hiyo ya Mike Sonko ilikua ni kama kufungulia hasira za wakenya kwa Uhuru Kenyatta na uongozi mzima wa Kenya, kwani wakenya wamejitokeza kwa wingi na kuweka "comments" za kumsifia sana Magufuli, huku wengi wao wakimponda Uhuru na uongozi mzima wa Kenya, na kumuomba Mungu awape Magufuli wao.

Endelea kusoma "comments" za wakenya ktk hiyo video clip...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…