joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii imetokana na kitendo cha Gavana huyo wa Nairobi, kuweka video inayomuonyesha Magufuli akichukua hatua madhubuti za kupambana na Rushwa, katika video hiyo Sonko aliandika Maneno yenye kuashiria kufurahishwa sana na uongozi wa Magufuli.
Post hiyo ya Mike Sonko ilikua ni kama kufungulia hasira za wakenya kwa Uhuru Kenyatta na uongozi mzima wa Kenya, kwani wakenya wamejitokeza kwa wingi na kuweka "comments" za kumsifia sana Magufuli, huku wengi wao wakimponda Uhuru na uongozi mzima wa Kenya, na kumuomba Mungu awape Magufuli wao.
Endelea kusoma "comments" za wakenya ktk hiyo video clip...