Mike Tee, Dhahabu iliyopotea

Mike Tee, Dhahabu iliyopotea

Kama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee

Enzi izo na A.Y kipindi icho A.Y anatesa na ngoma ya yule
1474022044728.jpg
1474022114657.jpg
 
Kuna ngoma yake moja inaitwa I love you the way anavoimba humo ndo anavoimba A.Y these days nahisi amemkopi ila wale shilawadu hawajafatilia tu
 
Kama mike tee ningekuwa staa, Kama ningekuwa na mkwanja kachaa , Kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa, Iringa town ningekuwa balaa.. Nilikuw namkubal Sana hivi yuko wapi mwenye pic yake atuwekee
Daahh such time was amazing.. mziki ulikuwa na radha ambayo siipat kwa sasa
 
Daah alikua mtamu huyu mi nakumbuka ule wimbo aloimba na nature
 
Huyu jamaa msomi sijui yupo wizara gani kwa sasa mawe ya kale haya daah!
 
Kuna nyimbo yake mike T ilikuwa inaitwa niBEEP BABY..basi miaka ile ilisaidia sana kujua kumbe ni kubipu tulikuwa tunapenda kusema kudipu (miss call)..beep vs deep
 
Nitampenda demu mwenyewe awe mtanzania ,awe na sifa za kweli niweze jivunia.nijue wapi kazaliwa wapi katokea,ndugu zangu nyumbani nipate waeelezea.uzuri wa sura yake uendane na tabia apendwe na watu na watu sio makumi bali mamia.Awe mnyaki ,mnyalu si mgogo.

mkimpata MIKE T mwambieni afafanue hapo kwenye blue,hatukuelewa jipindi kile.
 
hahahahha kumbe wagogo kitambo tu hawana kitu kwa bed.....
nitamuomba siku nikikutana nae
 
Back
Top Bottom