Mike Tyson na Evander Holyfield

Hujui ngumi. Unadai alidai ameng'atwa sikio wakati videos zinaonesha na Tyson alikiri? Evander aliyekuwa amevimba uso ni yule unayeishi naye au yupi?

Toka kwenye sparring Evander alikuwa ana mlaza Tyson. Evander alikuwa sugu. Kaangalie mapambano ya Evander yote utaelewa. Wewe masumbwi huyafahami bwana mdogo. Unasimuliwa tu nawe unakuja taka wasimulia kaka na baba zako
 
We unaongea nini,uliangalia hiyo mechi?
Usanii mtupu,
Lenox Lewis ndio alimtwanga hasa Tyson na yule jamaa Dedric nani sijui hakua maarufu ila alimdondosha Tyson Douglas Buster pia alimdondosha Tyson.
Hilo shindano na Evander ni km yale mapambano anacheza Mayweather.
Evander Holyfield alikuwepo tayari mkongwe kwenye game, na kabla ya hapo alimtanguliza huyo Dedric akabet dola mil 2 ili asome mchezo mchezo kwa kigezo kwamba Tyson akimshindwa
Huyo ndio itangazwe mechi yake.
 
Huju
Hujui kitu. Na kipindi hicho hukuangalia umekuja simuliwa tu kijiweni. Hujui hata ngumi....unachukua kila unachukua kila unachosikia kikisemwa. Hufahamu kabisa Boxing unamsikia sikia Tyson na Evander pia. Ila hujui kitu kabisa. Ni maamuma katika ngumi.
 
Anyway sibishani na kitu hakiingizi pesa, haya umeshinda wewe unayejua ngumi lofa we.
 
Mhhh! Umeharibu mwishoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…