Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Upumbavu huu wa kizamani. Kama hujui ngumi nyamaza.Hayo mapambano yalipikwa ili Tyson akalishwe
Betting imeharibu sana michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu huu wa kizamani. Kama hujui ngumi nyamaza.Hayo mapambano yalipikwa ili Tyson akalishwe
Betting imeharibu sana michezo
Hujui ngumi. Unadai alidai ameng'atwa sikio wakati videos zinaonesha na Tyson alikiri? Evander aliyekuwa amevimba uso ni yule unayeishi naye au yupi?Evander alipigwa zile Iron fist nyingi sana ingawa na yeye alikua anatoa kombora zake.
Ukiangalia video Evander kavimba uso Mzima. Ndio siku hiyo akadai amengatwa sikio. Tyson akaporwa taji. Kipindi hicho nafkiri Tyson alikua na msongo wa mawazo kuachwa na Robbin aliyeondoka na kila kitu alichokipigania jamaa.
Wanawake muwe na huruma kidogo. Mike Tyson leo ni mtu wa kujenga shamba la bangi kama mchicha wa pale Hai.
Projects nyingi anazo kivyake kwasasa, ila najua siku akisema ukweli hao huko wataungua
We unaongea nini,uliangalia hiyo mechi?Hujui ngumi. Unadai alidai ameng'atwa sikio wakati videos zinaonesha na Tyson alikiri? Evander aliyekuwa amevimba uso ni yule unayeishi naye au yupi?
Toka kwenye sparring Evander alikuwa ana mlaza Tyson. Evander alikuwa sugu. Kaangalie mapambano ya Evander yote utaelewa. Wewe masumbwi huyafahami bwana mdogo. Unasimuliwa tu nawe unakuja taka wasimulia kaka na baba zako
Hujui kitu. Na kipindi hicho hukuangalia umekuja simuliwa tu kijiweni. Hujui hata ngumi....unachukua kila unachukua kila unachosikia kikisemwa. Hufahamu kabisa Boxing unamsikia sikia Tyson na Evander pia. Ila hujui kitu kabisa. Ni maamuma katika ngumi.We unaongea nini,uliangalia hiyo mechi?
Usanii mtupu,
Lenox Lewis ndio alimtwanga hasa Tyson na yule jamaa Dedric nani sijui hakua maarufu ila alimdondosha Tyson Douglas Buster pia alimdondosha Tyson.
Hilo shindano na Evander ni km yale mapambano anacheza Mayweather.
Evander Holyfield alikuwepo tayari mkongwe kwenye game, na kabla ya hapo alimtanguliza huyo Dedric akabet dola mil 2 ili asome mchezo mchezo kwa kigezo kwamba Tyson akimshindwa
Huyo ndio itangazwe mechi yake.
Anyway sibishani na kitu hakiingizi pesa, haya umeshinda wewe unayejua ngumi lofa we.Huju
Hujui kitu. Na kipindi hicho hukuangalia umekuja simuliwa tu kijiweni. Hujui hata ngumi....unachukua kila unachukua kila unachosikia kikisemwa. Hufahamu kabisa Boxing unamsikia sikia Tyson na Evander pia. Ila hujui kitu kabisa. Ni maamuma katika ngumi.
Mhhh! Umeharibu mwishoniTyson alikuwa amezoea kupiga watu round ya 1-2, hakuwa na pumzi ya kwenda round kama ya 8. hivi. Hollyfield alikuwa ni mtu si wa kupigwa kwenye round hizo na ndiyo maana alimuaibisha Tyson. Lennox Lewis pekee ndiye aliyempiga Evander na si Tyson. Tyson alikuwa hajui ngumi za kucheza round kuanzia 4 kwenda mbele. Alikuwa nacheza ngumi kwa kubahatisha
Faraja yangu ni kuwa angalau unakiri kuwa nimependeza mwanzoni, sijaharibu jumla jumla
Cc mahondawKwa hiyo wanawake ni binadamu wabaya... [emoji28]
Hujui ngumi subiri wakusimulie tena. Ila hujui ngumi dogo.Anyway sibishani na kitu hakiingizi pesa, haya umeshinda wewe unayejua ngumi lofa we.
Dogo wakati mi babayako 😅😅😅Hujui ngumi subiri wakusimulie tena. Ila hujui ngumi dogo.
Hujui ngumi subiri wakusimulie tena. Ila hujui ngumi dogoDogo wakati mi babayako 😅😅😅
Haya, baba Yako dogo hajui ngumi 🤸♂️👊.Hujui ngumi subiri wakusimulie tena. Ila hujui ngumi dogo
Dogo Hujui ngumi subiri wakusimulie tena. Achana na ngumi hujui kitu dogo.Haya, baba Yako dogo hajui ngumi 🤸♂️👊.