LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Baada ya kufanya vipimo vya DNA ili kujua babu yake alitoka wapi barani Africa, amegundua kwamba babu yake alitoka Congo.
Ingawa hakuweza wazi whether is Brazzaville or Kinshasa but tuna assume ni Kinshasa kwa sababu, when you just say "Congo" then we know it is " Kinshasa". It is like when you say " Chuo Kikuu" . We all now you mean " UDSM" or when u say " Manchester " we all know u mean " United" and not " City "
It is like when u say " hundred " we all know that u mean " one hundred"
Tupac mama ake alikuwa Mmarekani mweusi na baba ake alikuwa Mjamaica.
So huyo baba ake Mjamaica, babu yake na babu yake na babu yake na aliekuwa babu yake na babu yake na babu yake, ndio alitoka Congo.
He looks Congolese though