Mike Tyson sex change operation ‘a complete success’, say surgeons

hahaha! nimestuka kupata hii habari! ikabidi ni google vyanzo ninvyopata vya ajabu na JF ni one of top 10 sitaamini mpaka nione yahoo sports, daly mail, the sun
 
ni uongo 100% lakin jamaa kaipost kwenye udaku no harm done.
 
Mkuu Dingswayo hapo umetupata wengi aisee yaani nakucomment kote huku kumbe umepost huu udaku kwenye jukwaa la jokes, yaani leo ndiyo najua kuwa ipo jukwaa hili. Hongera umetupata wengi aisee lakini ilifaa uisubirie mpaka siku ya wajinga duniani ndiyo ingenoga zaidi.
 
......... Something is creaking in my head.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…