Mike Tyson was overrated

"the industry" decided Mike tyson to be on "mainstream"...the same applies to Mayweather Jr
So, what you're trying to say the industry decided the new comer to be on mainstream!! Remember, the guy was undisputed heavyweight champion at 20!

Like it or not Mike was unbeatable fighter! Three years in correctional center had negative effect to his boxing career... that's why he didn't last long after his come back.
 
Ndiyo maana tumewaachia mabarubaru wenyewe. Zanzibari Karume akishakataza yakheee.

Na Karume mwenyewe ikuwa boxer. Aliona mbali kwamba huu mchezo utaharibu watu.
 
Ndiyo maana tumewaachia mabarubaru wenyewe. Zanzibari Karume akishakataza yakheee.

Na Karume mwenyewe ikuwa boxer. Aliona mbali kwamba huu mchezo utaharibu watu.
somoo,karume alikuwa na sababu zake yakhee kujifunza ngumi for self defence na kwa ajili ya mazoezi sio mbayaa,hata ngumi za ridhaa pia sioni kama zinashida zile ambazo wanavaa helmet
 
somoo,karume alikuwa na sababu zake yakhee kujifunza ngumi for self defence na kwa ajili ya mazoezi sio mbayaa,hata ngumi za ridhaa pia sioni kama zinashida zile ambazo wanavaa helmet
Sababu za Karume zipi Ami yangu?
 
Tyson katika ubora wake kwanza alikuwa ukifika nae round ya 5 anapandisha hasira maana alikuwa akiamini hakuna mtu wa kuweza kumsumbua kufika nae hadi hiyo round..

Hakuwa mtu wa kujilinda sana kama Mayweather... yeye ilikuwa mkono tuu..

Unamkosea heshima Tyson kwa kiwango cha lami..
 
Mleta mada Ramadan itakua ilimkamata tu au ana tania.

Eti Tyson alikua ana pangiwa mabondia wadhaifu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mkuu, ila mpaka leo najiuliza. Muhammad Ali aliweza vipi kumpiga George Foreman?

Ali alikua mvumilivu sana yaani unaweza kumshambulia mwanzo mwisho mpaka unakata tamaa sasa ukipitiwa kidogo tu naye ndio anakumaliza na hivyo ndivyo foreman alivyopigwa .. foreman ilifika mahali akachoka kutupa ngumi na ali akatumia hiyo nafasi kumpiga..japo kuna wanaosema game ilipangwa kwani ali hakuwa na uwezo wa kumpiga foreman....mtu mwingine ambaye ali kiukweli hakuwahi kumshinda kwa haki ni norton..huyu mwamba alikua hatari Utamuonea huruma Ali kwenye mapambano yake na KENNY NORTON
 
Kiukweli hata mapambano aliyopigwa TYSON amepigwa vibaya yaani kipigo ambacho bondia bingwa hawezi kupigwa vile..kuanzi lile la james buster Douglas, evanda hadi lewis na hawa watoto wengine..Tyson alikua bondia mzuri kweli lkn hakuwahi kupata upinzani ambao Muhammad Ali alikua akiupata toka kwa kina foreman na kenny norton
 
Kumbe wasema yaso urari kwa wahaka wa tafakuri?
hapana sheikh wangu nachelea tu kunena yasio mujarabu,kwani ingawa ninaimani kilichofanyika hakikuwa sawa,siwezi jua huenda nia ilikuwa njema kabisa.
 
hapana sheikh wangu nachelea tu kunena yasio mujarabu,kwani ingawa ninaimani kilichofanyika hakikuwa sawa,siwezi jua huenda nia ilikuwa njema kabisa.
Basi miye naina vema. Maana katuindokea ubarubaru visiwani kwetu.

Habari hizo mwisho Chumbe.
 
Basi miye naina vema. Maana katuindokea ubarubaru visiwani kwetu.

Habari hizo mwisho Chumbe.
shehe sawa alifaulu katika hilo,lakini akafeli kuwaunganisha wazanji kuwa kitu kimoja
 
shehe sawa alifaulu katika hilo,lakini akafeli kuwaunganisha wazanji kuwa kitu kimoja
Yule naye alikuwa mbeberu ambaye hajadoma, hivo hata mbinu za juongoza hakuzijua. Kachafua mambo mengi sana. Simtetei kwa yote. Ila hapa kwenye masumbwi amenifurahisha.

Ila kama iki yizemwa hapo juu, inawezekana kuruhusu hata ubarubaru kwa wanaoutaka, almuradi wana vifaa vya kujikinga.

Kuna binadamu wengine bado wana mbongo za sokwe na wanafurahia michezo hii ya kihayawani.
 
unajua hata ukienda kwenye mapambano ya masumbwi ya hapa nyumbani ukiaangalia mashabiki wanaokwenda kuyatazama wengi wao wamekaa kusharishari sana,kama mabedui vile,ingawa si wote
 
unajua hata ukienda kwenye mapambano ya masumbwi ya hapa nyumbani ukiaangalia mashabiki wanaokwenda kuyatazama wengi wao wamekaa kusharishari sana,kama mabedui vile,ingawa si wote
Hahaha, umenichekesha sana.

Umenikumbusha mtu kama Emmanuel Mlundwa yule.
 
Hahaha, umenichekesha sana.

Umenikumbusha mtu kama Emmanuel Mlundwa yule.
kuna huyu bondia wanamwita mashari,huku mtaani anajulikana sana kwa ukabaji na uporaji.lakini ndo moja ya mabondia tegemezi nchini,nafikiri angepata mentor kama Cus D'Amato alivyokuwa kwa mike tyson angalau angetulia kidogo,kuna vitu vingi sana tunafanya sababu ya matatizo ya kisaikolojia tulonayo.bahti mbaya huwa hatuligundui hilo
 
Hii mada inaonyesha dhahiri kuwa imeletwa na mtu asiyejua ABCD za mchezo wa ngumi bali na mtu mwenye mahaba ya kupindukia na mtu aliyepo kwenye mchezo huo....au na chuki na mtu aliyepo kwenye mchezo huo......

Ila kama utauangalia mchezo wa ngumi kiufundi sio kwa mahaba sijui ni namna gani unaweza kuzani kama alivyodhani......

Kwa maana hiyo unataka kusema hata wale mabingwa aliowavua ile mikanda walikuwa wameotea kuipata ile mikanda....?? Au walikuwa ni wahuni wa mtaani walioandaliwa kwa ajili ya kudundwa na Tyson.....???!!!

Kama inavyofahamika kuwa kuna wakati mambo hufika mwisho automatically....na ndio maana mwanamichezo nguli na mwenye busara ili kutunza rekodi zake vizuri huamua kustaafu......
 
Wali mkwepesha sana Kwa evander na lenox mpaka wakawa wanatoa fidia baada ya hao jamaa kwenda mahakamani lakini mwishoni ikabidi awakabili na udhaifu wake ukawa exposed hata leo mywether tunge question uwezo wake asingemkabili Mani naungana na mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…