Mike Tyson was overrated

Mike Tyson was overrated

Wali mkwepesha sana Kwa evander na lenox mpaka wakawa wanatoa fidia baada ya hao jamaa kwenda mahakamani lakini mwishoni ikabidi awakabili na udhaifu wake ukawa exposed hata leo mywether tunge question uwezo wake asingemkabili Mani naungana na mtoa mada

Wakati Tyson anachukua WBC mwaka 1986 na kuwa bingwa mdogo zaidi kuchukua mkanda huo na 1987, akaongezea WBA na IBF kipindi hicho Lewis anapigana ngumi za amature huko Olympic na huyo Evander alikuwa hata hajafikia kupigana Heavy weight , Tyson katika ubora wake 1986 -1991 hao wote wasingeweza hata kumaliza round ya kwanza dhidi ya Tyson ,

Kilichomshusha Tyson ni ulimbukeni wa hela za utotoni na kukosa discipline ya maisha ,ila kwa mnaojua historia ya maisha ya utotoni ya Mike hamuwezi kushangazwa na hili
 
Kweli mkuu, ila mpaka leo najiuliza. Muhammad Ali aliweza vipi kumpiga George Foreman?
That is unanswerable question still baffles the world, wanasema ni moja wapo ya an imagnary occurences to ever happen in boxing history.

Wengi walijua Ali anaenda kufa kwenye lile pambano.
 
Mike Tyson hakuwa bondia bora. Alikuwa overrated. Management ya Mike Tyson walikuwa wanamkutanisha na mabondia dhaifu . Kabla ya kumkutanisha na bondia yoyote, management ya Mike Tyson ikiongozwa na Promoter wake Don King, chini ya jopo la wataalamu walio bobea katika mchezo wa boxing, walihakikisha kwanza wanajiridhisha pasi na shaka yoyote ile kwamba Mike Tyson atampiga bondia watakae mkutanisha nae. Ndio maana kwa kipindi kirefu sana management ya Mike Tyson ilikuwa inafanya kila namna, kuhakikisha bondia wao, hakutani na mabondia wakali kama Evander Holyfield, Lennox Lewis etc.

Unaweza kuona Mike alianza kupewa vipigo mfululizo tangu atemane na uongozi wake. Ukimuita Mike Tyson bingwa " Joe Frazier" George Foreman utawaita nani ? Jaribu kutafuta cd za mapambano ya watu kama George Foreman, Joe Frazier & Muhammad Ali, uone mabondia wa ukweli.

R.I.P Muhammad Ali
Mkuu alikuwa overrated kivipi??

Kwanza uliwahi kuskia Tyson kakataa rematch?

Ma overrated boxers lakin sio Mike Iron
 
Ali alikua mvumilivu sana yaani unaweza kumshambulia mwanzo mwisho mpaka unakata tamaa sasa ukipitiwa kidogo tu naye ndio anakumaliza na hivyo ndivyo foreman alivyopigwa .. foreman ilifika mahali akachoka kutupa ngumi na ali akatumia hiyo nafasi kumpiga..japo kuna wanaosema game ilipangwa kwani ali hakuwa na uwezo wa kumpiga foreman....mtu mwingine ambaye ali kiukweli hakuwahi kumshinda kwa haki ni norton..huyu mwamba alikua hatari Utamuonea huruma Ali kwenye mapambano yake na KENNY NORTON

Hata mimi nahisi game ilipangwa. Ali hakuwa na uwezo wa kufua dafu kwa Foreman
 
Back
Top Bottom