Mike Tyson was overrated


Wakati Tyson anachukua WBC mwaka 1986 na kuwa bingwa mdogo zaidi kuchukua mkanda huo na 1987, akaongezea WBA na IBF kipindi hicho Lewis anapigana ngumi za amature huko Olympic na huyo Evander alikuwa hata hajafikia kupigana Heavy weight , Tyson katika ubora wake 1986 -1991 hao wote wasingeweza hata kumaliza round ya kwanza dhidi ya Tyson ,

Kilichomshusha Tyson ni ulimbukeni wa hela za utotoni na kukosa discipline ya maisha ,ila kwa mnaojua historia ya maisha ya utotoni ya Mike hamuwezi kushangazwa na hili
 
Kweli mkuu, ila mpaka leo najiuliza. Muhammad Ali aliweza vipi kumpiga George Foreman?
That is unanswerable question still baffles the world, wanasema ni moja wapo ya an imagnary occurences to ever happen in boxing history.

Wengi walijua Ali anaenda kufa kwenye lile pambano.
 
Mkuu alikuwa overrated kivipi??

Kwanza uliwahi kuskia Tyson kakataa rematch?

Ma overrated boxers lakin sio Mike Iron
 

Hata mimi nahisi game ilipangwa. Ali hakuwa na uwezo wa kufua dafu kwa Foreman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…