Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato.
Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao.

Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
 
Nliweka 20k siku ya kwanza baada ya kushawishiwa sana na rafk angu kuwa siku hio ndo ligi za mambele zinaanza. Sikuwa hata najua kucheza, huyo jamaa alinieLekeza na nikaweka io 20k.

Baada ya masaa kadhaa gem zilichezwa na hakuna ata 1 iloenda kombo. Nikaona kitu cha 960k.
Nilitoa 900k nikanunua mbolea, ilobaki nikawa naibetia ikaliwa yote. Niliacha kubeti mazima
 
Back
Top Bottom